Forza milan

hahahahaha,kuna mchezaji mmoja wa jkt uljoro alimfanyia hii kitu boban wa simba hapa taifa,basi boban alimtafuta yule mchezaji na kumpiga kiwiko.
 
Waitaliano si ndo magwiji wa uhuni duniani, au hujui??

Boy- I Love U
Girl- Shut Up
Boy- I will die 4 U
Girl- Shut Up
Boy- I Cant live witout U
Girl- Shut Up
Boy- I will buy U blackberry BoldTorch
Girl- Really
Boy- Shut Up.
 
hahahahaha,kuna mchezaji mmoja wa jkt uljoro alimfanyia hii kitu boban wa simba hapa taifa,basi boban alimtafuta yule mchezaji na kumpiga kiwiko.

Ina maana Haruna nae walishamuonja ki-Milan Milan?
Angalau yeye alionesha active resistence, ila Strasser yeye katulia tu, anaona rahaaaaa....
 
duuu inamaana wanafanyia mambo hayo ndio maana kaloose jana..

Naona hii ilikuwa mwaka jana wakati Strasser hajauzwa kwa mkopo, nadhani huko aliko anamiss sana haya mambo ya Cassano.
 
Back
Top Bottom