Mario Balotelli nsa vitimbi vyake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mario Balotelli nsa vitimbi vyake.

Discussion in 'Sports' started by Bujibuji, Apr 7, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 650, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: headline, bgcolor: #FFFFFF"]Balotelli akiri kutoka na changudoa wa Rooney[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: headline, bgcolor: #FFFFFF"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: storyheader, bgcolor: #FFFFFF, align: left"][TABLE="width: 51%, align: left"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: mwanacss, bgcolor: #B47C01, align: left"]Mario Balotelli[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  LONDON, ENGLAND
  NYOTA mtukutu wa Manchester City, Mario Balotelli, wiki hii ameibuka na kuanika hadharani kwamba aliwahi kufanya mapenzi na mmoja kati ya machangudoa waliowahi kulala na Wayne Rooney.

  Balotelli alimtaja mwanamke huyo kuwa ni Jenny Thompson.
  Mchezaji huyo raia wa Italia mwenye umri wa miaka 21, alikiri kwamba alilala na mwanamke huyo katika nyumba yake yenye thamani ya pauni 3 milioni huko Cheshire na hakutaka kumpeleka changudoa huyo hotelini.

  Naye Jenny alikiri kwamba alilala na mwanaume huyo huku mpenzi wa Balotelli aitwaye Raffaella Fico akiwa Italia.

  Jenny alisema kuwa alikutana na Balotelli katika sherehe ya kuzaliwa ya kaka wa mchezaji huyo aitwaye Enoch na wakaishia nyumbani kwake.

  Alisema: �Tulipokuwa katika nyumba yake, aliniuliza kama ninataka kwenda chumbani kwake. Baada ya muda tulijikuta k
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...