Breaking news Okwi Nomaaaaaaaaaaaaaa Simba1:ESS3

believe it or not simba wametutoa kimasomaso hureeeeeeeee! Big up wana msimbazi.
 
Hakuna kama mnyamaaaaa. Hongera Simba , karibuni Anaglieni wasipige mawe
 
hadi raha weekend hii na jumapili tunafurahia siku ya kristo aliyetolewa kuwa sadaka kwetu sisi wanadamu wenye dhambi
 
kwanza wana jamvi nipokeeni kwa mikono miwili kuwa mwanajamvi. pili nawapongeza simba kwa hatua waliyofikia.
 
hatukutegemea mechi rahisi nashangaa Yanga walivyokuwa na raha wakati tulipokua hatujapata goli! Hongera simba kupambana kiume japo mlikua pungufu
 
Afadhali tutaendelea kwenda Taifa as usual, walete walete al alhy ya sudan
 
Simba bhana ! Duuuuh! Watu walikaribia kulala kwa furaha na roho zao zenye kutu...
MARA VUUUU STIMU ZIMEKATWA!
 
yanga kwa tabia yenu ya zomea zomea msimu huu lazima mpasuke makoo,bdo mechi zingne znakuja.ushauri wangu kwa wanayanga'**if u cn't win them join them.**
 
Mbona hutoi details, mpira umekwisha? Tujuzeni wenzenu tulio remote.

Mkuu Mechi imekwisha muda mrefu, Simba wamepita hatua inayofuata lakini kwa matokeo ya leo waarabu wamepata goli tatu, sisi tumepata moja, hivyo kusonga kwa faida ya goli la ugenini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom