mwamuzi kumtwanga jiwe mchezaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwamuzi kumtwanga jiwe mchezaji

Discussion in 'Sports' started by Johnson2012, Apr 10, 2012.

 1. J

  Johnson2012 Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wadau naomba mnijuze ilivyokuwa mpaka mwamuzi alivyoamua kumshushia kipondo mchezaji ktk ligi ya DRFA hii inasikitisha sana kama sio kuchekesha wa Tanzania tuna vijimambo sana
   
 2. by default

  by default JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Refa anaingia na mawe mfukon badala ya kadi,imenikumbusha henzi za gazeti la sani bush vs town
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Na nyie si mlimpa kisago mwamuzi? Mkuki kwa nguruwe tu?
   
Loading...