Ningekua mwajiri wa mwananchi communications sijui ningetoa adhabu gani kwa mwandishi huyu mjinga!

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Wakuu leo j3 ya pasaka niko nyumbani nikiwa napitia gazeti la mwananchi nimekutana na habari iliyo nifanya niandike hapa. Katikati ya gazeti kuna jarida la mwananch 2 ambalo ni maalum kwa habari za michezo. Ukururasa wa 3 wa kijarida hiki kuna picha kubwa ikimwonyesha mchezaji wa barcelona na goli kipa wa ac millan wakiwa chini wakiwania mpira katika ligi ya mabingwa ulaya....ajabu ni kwamba mwandishi huyu amjinga mechemka kwa kusema kuwa yule ni ki wa barcelona wakati hata ukiangalia jezi ya goli kipa yule ni ya ac millan....zaidi ni kwamba huyu mwandish amekariri kuwa daniel alves kuwa mara zote ni beki wa barcelona wakati mara nyingine huwa ni right wing wa timu hiyo na siku ya mchezo wao na millan hakua beki bali alicheza namba 7. Rai yangu ni kwamba hizi kazi wapewe watu wenye sifa jamani. Mana huyu mwandish nadhani atakua amevamia fani kwani makosa alio yafanya yana bainisha kuwa ana ufahamu mdogo sana wa mambo ya michezo na bado anaandika habar za michezo.
 
du,pole sana kwa kuchanganyiwa madesa mwana futiboli,next time ukitaka habari za futiboli kiundani nunua mabazeti ya michezo.
 
Vyuo vya kariakoo vinaharibu fani za watu,unamwona mtu eti kasoma bila kujulikana kama ni mwandishi upande gani,yeye anafikiri kisa kasoma uandishi basi anaweza kuandika kila upande

ama sivyo ndo yaleyale ya ujomba,ushemeji na nyumba ndogo
 
tsj buguruni miezi 3 na presscard shingoni anaanduka mawazo yake sio habari husika
 
We unamzungumzia Mwandishi ? Mhariri wa Mwananchi Neville Meena alikuwa anaomba hela kwa wana CCM kwenye kampein za Arumeru.
 
kuna kijiji kinaitwa Udonya pale njombe. basi hapo kunatoka watu kama hao wengi saana saanah!
 
kaka mi wanjombe..upande wa mama usituchafue bana..kwann usiseme mMKURANG ,PWANI AU BAGAMOYO KWA VASCO DA GAMA
 
What is the BIG deal here? Don't be stupidy

Wakuu leo j3 ya pasaka niko nyumbani nikiwa napitia gazeti la mwananchi nimekutana na habari iliyo nifanya niandike hapa. Katikati ya gazeti kuna jarida la mwananch 2 ambalo ni maalum kwa habari za michezo. Ukururasa wa 3 wa kijarida hiki kuna picha kubwa ikimwonyesha mchezaji wa barcelona na goli kipa wa ac millan wakiwa chini wakiwania mpira katika ligi ya mabingwa ulaya....ajabu ni kwamba mwandishi huyu amjinga mechemka kwa kusema kuwa yule ni ki wa barcelona wakati hata ukiangalia jezi ya goli kipa yule ni ya ac millan....zaidi ni kwamba huyu mwandish amekariri kuwa daniel alves kuwa mara zote ni beki wa barcelona wakati mara nyingine huwa ni right wing wa timu hiyo na siku ya mchezo wao na millan hakua beki bali alicheza namba 7. Rai yangu ni kwamba hizi kazi wapewe watu wenye sifa jamani. Mana huyu mwandish nadhani atakua amevamia fani kwani makosa alio yafanya yana bainisha kuwa ana ufahamu mdogo sana wa mambo ya michezo na bado anaandika habar za michezo.
 
We unamzungumzia Mwandishi ? Mhariri wa Mwananchi Neville Meena alikuwa anaomba hela kwa wana CCM kwenye kampein za Arumeru.
Evidence ni muhimu mkuu!usimchafue bure km hakuna evidence.Huyu bwana mi nilimsikia jumamosi akiongea star tv, alikemea vikali swala la waandishi kuwa na Kambi,wakati wao si waandishi wa magazeti au vyombo vya habari vya vyama.Aliliongelea vizuri na kudai Arumeru kuna habari alizitoa zikamletea shida,na kuna habari nyiingi zilikuwa zikizimwa au kupindishwa na waandishi wenyewe sababu ya kambi.
 
Hata CCM pia wanakemea rushwa kama ni suala la word of mouth.
Kuna post humu kuhusu Meena na rushwa ya CCM wengine hatukurupuki kama wewe
 
What is the BIG deal here? Don't be stupidy

...we boya nn? Au unahusika na mwananchi?! Kama we huoni jinsi unavyotetea uozo basi tahira. Najua ndo waandish wenyewe wehu nyie na ndo maana mwaona sawa tu.
 
what is the big deal here? Don't be stupidy

nina wasi wasi mkubwa na elimu yako kama sio miaka yako
au exposure wewe huoni kuwa ni big deal hiyo inshu??
Nchi za watu mnapelekwa mahakamani
mfano mdogo ni donald trump alim sue mwandishi wa habari kisa alimuandika donald trump the millionaire badala ya kumuandika the billionaire
jaribu kuweni serious na kazi zenu
 
Ilo tatizo ndo hadi umelianzishia thread? Kwenye gazeti huwa kuna contacts za mhariri unaonaje ungetumia muda huo kuwasiliana nao! Kuna wakati ni typing errors na mimi sioni ka ni big deal hadi kumuita muandishi mjinga, nadhani mjinga ni wewe badala uliyeishia kulalamika sehemu sio wakati mawasiliano na wahusika unayo.
 
Back
Top Bottom