Madridista:...;REAL MADRID

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,532
3,316
Hakuna pressure bado tuna advantage ya kuchukua la liga na uefa mechi ya valencia bahati haikuwa kwetu
 
Los blancos(madrid) wanatisha sipati picha mechi na buyern munich itakuwaje?
 
Hakuna pressure bado tuna advantage ya kuchukua la liga na uefa mechi ya valencia bahati haikuwa kwetu
Huwa unabet mdau? Mimi FC Barcelona wa ukweli. Ndoo tunachukua kama unabishi tuweke dau.
 
historia haijirudii mjomba this time mnakwisha(barca)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom