Azam -mtibwa vs baraza jipya la mawaziri mwenye updates tafadhali ajimwage hapa jamani

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
WANAJF;
Pamoja na kwamba sote masikio yetu yako Ikulu kwa ajili ya Baraza la Mawaziri, ambalo kwa hakika halitakuwa na jipya kwasababu ya uzoefu etu na JK. Mimi naomba mwenye updates za mechi ya marudiano kati ya Azam na Mtibwa atusaidie, kwani hiyo mechi inaweza kuwa na jipya kuliko Baraza Jipya la Mawaziri ambalo litakuwa la kupeana ULAJI tu na si kwa maslahi ya Watanzania.
TELO
 
Mkuu tumtafute crashwise popote alipo yeye ndio mkali wa updates
 
wanajf;
pamoja na kwamba sote masikio yetu yako ikulu kwa ajili ya baraza la mawaziri, ambalo kwa hakika halitakuwa na jipya kwasababu ya uzoefu etu na jk. Mimi naomba mwenye updates za mechi ya marudiano kati ya azam na mtibwa atusaidie, kwani hiyo mechi inaweza kuwa na jipya kuliko baraza jipya la mawaziri ambalo litakuwa la kupeana ulaji tu na si kwa maslahi ya watanzania.
Telo
mungu wangu wanacheza kombe gani ..........mbona niliambiwa azam wamepewa pinyi tatu hebu ngoja nisame magazeti ya nyumbani ,,,,anayenipa habari za nyumbani yaelekea anazitoa vijiweni mwembe yanga
 
mungu wangu wanacheza kombe gani ..........mbona niliambiwa azam wamepewa pinyi tatu hebu ngoja nisame magazeti ya nyumbani ,,,,anayenipa habari za nyumbani yaelekea anazitoa vijiweni mwembe yanga

mechi inarudiwa leo taifa kuanzia saa 10 jioni ya leo. Kamati ya nidhamu iliamua mechi irudiwe leo.
 
Back
Top Bottom