Azam vs Mtibwa

Azam vs Mtibwa

gbrother

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
408
Reaction score
51
Kwa taarifa nilizopata
baada ya kamati ya tibaigana kutengua maamuzi ya azam kupewa point za mezani na kutoa agizo la mechi kurudiwa,
kesho ndio game inapigwa u/taifa.
 
Hiyo mechi ni dakika 90? Maana ilivunjika dk ya 88. Common sense inasuggest mechi ingechewa dk 2.
 
Hiyo mechi ni dakika 90? Maana ilivunjika dk ya 88. Common sense inasuggest mechi ingechewa dk 2.

mkuu ukisema ichezwe dakika mbili maana yake hata refa atakuwa ni yule yule na lazima ianzie kwenye penati ambayo Mtibwa waliigomea.
 
ngoja tuone na leo wakifungwa azam fc wameliwa hela zao ikishinda azam fc wamehonga tena..

mungu ibariki azam fc
mungu ibariki ligi kuu tz
mungu bariki wachezaji wote wa mchezo wa leo..
 
ngoja tuone na leo wakifungwa azam fc wameliwa hela zao ikishinda azam fc wamehonga tena..

mungu ibariki azam fc
mungu ibariki ligi kuu tz
mungu bariki wachezaji wote wa mchezo wa leo..
Azam wana timu nzuri na ushindi kwao sikitucha ajabu tatizo imeanza kujiingiza kwenye michezo michafu na leohilo halita wezekana maana machoya wengi yako pale naamini mshindi kweli atapatikana.....
 
mkuu ukisema ichezwe dakika mbili maana yake hata refa atakuwa ni yule yule na lazima ianzie kwenye penati ambayo Mtibwa waliigomea.

hahahahahaha nimeipenda hii
 
Simba hawatakubali Azam ashinde kirahisi leo
 
Mtibwa 2 - Azam 1, game imeisha punde. Azam :second:
Simba :first:

Azam 1 Mtibwa 2Mnyama j2 anapakatwa kama kawa.
 
Afadhali SIMBA tuingie uwanjani jumaplili tukiwa mabingwa.SIMBA BINGWA OYEE!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom