Update za pambano la may wather kwa mtakaoangalia!

Update za pambano la may wather kwa mtakaoangalia!

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,372
Wakuu kwa mtakaobahatika kutizama hili pambano msikose kutuwekea update humu jamvini!
 
Ebana hilo goma bongo litakuwa Alfajiri saa 11. Dstv uswahilini utata wenyewe wanatumia kuonesha mpira tu. Vitu kama hivi hawajui.
 
msiogope wakuu me nakesha,ntawapa update....
 
Back
Top Bottom