Real Madrid Bingwa wa ligi ya Spain - La Liga 2011-2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Real Madrid Bingwa wa ligi ya Spain - La Liga 2011-2012

Discussion in 'Sports' started by MAMMAMIA, May 3, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwa matokeo ya leo ambapo Real Madrid imekwishafikisha points 94 wakati Barca ina points 87 na imebakia michezo miwili ambapo hata real ikipoteza yote, bado inabaki kuwa bingwa wa msimu huu. Ndoto ya Mourinho imetimia.

  Sasa ushindani uko nani atakuwa mfungaji bora.
  Messi magoli 46
  Cristiano Ronald magoli 44.
  Wakti ndio utakaoamua, lakini kuna uwezekano mkubwa kwa Messi kuwa mfungaji bora.
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Safi sana mkuu,

  Ni vizuri kubadilisha mboga mara kwa mara ili usiichoke nyumba!!

  Best score kwa sasa iko hivi,

  Messi magoli 46 (jana alipiga hat trick)

  Cristiano Ronald magoli 44.

  Babu DC!!
   
 3. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Morinho is only one the Special one, Ni kocha pekee ambaye ameweza kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu zinazoheshimika Ulaya katika nchi nne tofauti.

  Well Done, Morinho well done Madrid.
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  HONGERA REAL MADRID!

  HONGERA "The Special One"!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bingwa mou baada ya kuhustle misimu mitatu..
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Asante sana Babu DC kwa masahihisho.
   
 7. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Well done Mourinho, hivi Kuna Kocha ana rekodi kama yake??
   
 8. w

  willzo New Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Special one..timu nzuri na kujituma.
   
Loading...