TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Tusiibeze timu yetu ina vijana wapiganaji haswa hebu fikiria spidi ya Mrwanda,Ngasa na Samatta! Beki Costa,Nyoso na Nsajigwa! Hakuna sababu ya kukosa ushindi,binafsi nawaombea wawe na ari kubwa tu basi!
 
upande wa defence Kaseja na Costa wanajua kuwapanga wenzao vizuri,ila nikiwazia kasi ya Samatta,Mrwanda na Ngasa sina hofu na waarabu kabisaaaaa!
 
Paulsen akitumia staili ya beki ya Simba kukaba kwa kumtanguliza mapafu ya mbwa Nyoso kuharibu move zote na Costa anakuwa mtu wa mwisho.alafu amtumie Ngasa na Mrwanda kama mawinga na samatta namba 9!
 
Spidi ya kwenye zoezi ni tofauti na spidi ya mechi mkuu. Punguza maneno 2subiri 2one! Hivi baba riz1 atakuwepo? Kama YES mmeumia!
 
Wakuu channel gani wataonyesha hii mechi,na inaanza saa ngapi kwa saa za hapa tz ?
 
IMG_0735.JPG


CANALE ALGERIA
HOTBIRD 13 E 12539 H 27500
ATLANTIC BIRD3 5W

Media 1Tv
HOTBIRD 13 E 10853 V 27500
EUTELSAT 21.6 E 11612 H 3589
NILESAT 7 W 12015 V 27500
 
Masuke nikiwa ndani ya uwanja wa Taifa, timu ndo zinapasha sahivi, nitakuwa nawaletea matukio muhimu tu.
 
Kikosi kinaweza kuwa ni: Kaseja, Nsajigwa, Maftah, Morris, Nyoso, Nditi, Nizar, Henry Joseph, Samatta, Babi na Danny Mrwanda.
 
Masuke kikosi kikianza hivyo imekula kwetu,naamini Mrwanda,Ngassa na Samatta wakishambulia pamoja hakuna beki ataezuia dk zote 90
 
Ngassa,Mrwanda na Samatta watumike kwa pamoja maana wanapumzi na ni vijana,tunataka timu ya kushambulia dk zote 90,naomba Paulsen awapange mwanzo mwisho mtaona habari yake.
 
Kwa walio Tanzania game inaoneshwa na Star TV na tayari wameshaanza kuujadili mpambano
 
Eheee mungu unaejua wanafiki na wakweli fanya maajabu tushinde japo hatukataka kushinda kutoka na uswahili wetu!!
 
Back
Top Bottom