Manchester united kuvunja ukimya leo

Gagso

Member
Apr 16, 2012
58
3
Alex amaliza ukmya kwa watu leo wanaosema kuwa man utd ana uwezo wa kumfunga man ctiy,na hapo ndio ata tangaza kuchuwa ubingwa,wale wote wamashabiki wa ukweli wa man utd.matokeo ni kama hivi yatakavyokuwa man utd 2 na man ctiy 0?mfungaji hatakuwa yule kipenzi cha watu ni rooney?
 
Alex amaliza ukmya kwa watu leo wanaosema kuwa man utd ana uwezo wa kumfunga man Mancity.jpg ,na hapo ndio ata tangaza kuchuwa ubingwa,wale wote wamashabiki wa ukweli wa man utd.matokeo ni kama hivi yatakavyokuwa man utd 2 na man ctiy 0?mfungaji hatakuwa yule kipenzi cha watu ni rooney?

Pole sana mkuu! Mambo hayakuwa hivyo!

Alex amaliza ukmya kwa watu leo wanaosema kuwa man utd ana uwezo wa kumfunga man ctiy,na hapo ndio ata tangaza kuchuwa ubingwa,wale wote wamashabiki wa ukweli wa man utd.matokeo ni kama hivi yatakavyokuwa man utd 2 na man ctiy 0?mfungaji hatakuwa yule kipenzi cha watu ni rooney?

Pole Mkuu Gagso. Mambo ya Soccer hayo!
 
Vicent Kompany. Bichwa baya na hilo hilo ndo kalitumia kutupia bao. Wallah namheshimu sana
 
Back
Top Bottom