Kilio San Siro

Kilio San Siro

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,735
:crying: Kilio kilisikika Milan. Gang Chomba na mashabiki wenzake waliomboleza. Na wala hawakuweza kufarijiwa. Kwa kuwa wamepangiwa kuchezewa na Merciless Messi!
 
Back
Top Bottom