Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,577
- 12,504
Wakuu heshima mbele, mimi ni mdau wa soka, na hapa jf najua kuna wadau kibao. Kuna ma'fans na wanazi wa vilabu kibao kama Man united, Arsenal nk. Wadau naomba mnisaidie katika hili 1. Nikweli kuwa sheria zote za soka zinatumia lugha ya kiingereza? Kwa mfano, free kick, penalt, corner nk hata kwa nchi kama German, spain na ureno lugha aibadiliki lazima watamke kwa lugha ya kiingereza? 2. Kwenye soka, penalt kwa ninavyofahamu mimi,ni adhabu inayotolewa baada ya kufanyika "faulo"/makosa kwenye eneo la mita 18, kwa mchezaji wa timu pinzani, hoja hapa ni penalt zinazopigwa baada ya dk 120 ni adhabu vilevile? Au hii ya baada ya dk 120 cyo adhabu. Wadau tafadhali fafanue hapa.