VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mabao ya 87 na 88 ya Lionel Messi ya mwka huu yalitosha kuipa ushindi Barcelona wa 2-0 dhidi ya Cordoba katika mzunguko wa kwanza wa 16 bora katika michuano ya Copa del Rey. Wakati huo huo,Real Madrid ilichezea kichapo cha 2-1 toka kwa Celta Vigo,lishukuliwe bao la Christiano Ronaldo walilolipata ugenini. Sasa Messi ana mabao 88 mwaka huu wajameni. Ni soo,ni noma!
