Shafiidauda aangukia pua drfa abaki kubwabwaja clouds fm

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Katika kutimia maneno ya wahenga "usitukane mamba wakati ujavuka mto"" yametimia kwa aliekuwa mgombea w aujumbe kupitia chama cha mkoa wa dar drfa alhaj shaffiidauda pale alipoambulia kura mbili
shafii kama wengi mumjuavyo amekuwa akibwabwaja sana kuhusu drfa binafsi nilijua anaweza ikamsaidia lakini kumbe loh timu ilishaajulikana kitambo

katika upigaji kura shaffii alipata kura 2 na ali mayai tembele 3 kitu ambacho kinaonyesha awakujipanga ama awakuwa wanajua wanaenda kugombanaia nini ama walihisi kutumia redio kutawasaidia kuingia madarakani....

Hatimae wajumbe walinyoosha mikono yao na kuchagua wale wanaohisi wako kwa mslahi ya chama na hapo ndipo mzee wa ilala alipochaguliwa kuwa mwenyekitii

hata hivyo nampongeza shafiii kwa kujaribu ila ubaya ni toka juzi anawalalamikia wajaumbe kupitia clouds fm redio ya watu kwamba wamemtosa na wakti huo huo akitangaza uchaguzi ulikuwa wa huru sasa twajiuliza iweje anaendelea kubwabaja tena wakati amekiri ameshindwa na uchaguzi ulikuwa wa huru

zuri pale aliposema anakiri yeyey na alimayai walivamia chaka
 
Abaki Clouds tu atafsiri habari za michezo toka kwenye blog za Ulaya..si inamtosha..!!maana hawa jamaa kwa kukopy na kupest hawawezekani aisee..!!

Ila ukweli jamaa ni mzuri kwa kupekenyu habari za michezo!!!

Big up Shafii Dauda! Huwezi kumlinganisha na Kibonde Mazeei!!
 
Ila ukweli jamaa ni mzuri kwa kupekenyu habari za michezo!!!

Big up Shafii Dauda! Huwezi kumlinganisha na Kibonde Mazeei!!

Kabisaa umenena...binafsi hata mie uwasilishaji wake unani-impress. Mimi mwenyewe sio mpenz wa mpira kiviile lakin navutiwa na kumsikiliza..
 
Huyu jamaa kupata kura mbili ni halali kabisa..ni kati ya wachambuzi vihiyo wa michezo. Huyu sio mchambuzi wa soka au michezo ila ni mshabiki wa soka. Na ifike kipindi watu waache kudhani watanzania ni watu wakawaida kama wa miaka ya 1947. Yani yeye kuwa pale Clouds Radio na kubwabwaja kwenye kipindi chao cha Sportsextra akadhani kuwa atachaguliwa. Kwa kweli wajumbe wa DRFA wamechukua maamuzi sahihi, wangejaribu kumpa kazi huyu jamaa wangelia.
 
Kwa upande wangu namkubali sana shafii dauda ktk uchambuzi wa soka hasa habari za kimataifa za kispoti
 
Ndo chaguzi zilivyo kupata na kukosa,ila kiukweli huwa napenda sana kusikiliza sport extra na ile ya jmapl sportround up sababu ya huyu jamaa shaffii dauda nakumkubali sana huyu jamaa kwenye kupekenyua habari za michezo Big up sana dauda popote ulipo!
 
Kabisaa umenena...binafsi hata mie uwasilishaji wake unani-impress. Mimi mwenyewe sio mpenz wa mpira kiviile lakin navutiwa na kumsikiliza..

unapendaje ngon wakat aisimam jteetee huna amuyampira alafu ana
 
ni kwasababu anafanya kazi kwenye media, ingekua hana hiyo media asingeongea chochote
 
Tena ashukuru media maana bila hvo angeambulia kura sifuri,kubwabwaja kwe redio si busara ikiwa umeshindwa.Geofrey leah angejaribu angalau mana yule anajitahd upstairs

Ifike sehemu elimu ziwasaidie hawa vilaza,mana jamaa si kastep hata class huyu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tena ashukuru media maana bila hvo angeambulia kura sifuri,kubwabwaja kwe redio si busara ikiwa umeshindwa.Geofrey leah angejaribu angalau mana yule anajitahd upstairs

Ifike sehemu elimu ziwasaidie hawa vilaza,mana jamaa si kastep hata class huyu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums


Hivi Shaffih dauda ni mshabiki wa timu gani hapa Bongo? Maana kila leo nasikia amezidisha ushabiki nimejaribu kumfuatilia mapenzi yake yako wapi nimeshindwa kung'amua. Ila jamaa kwa criticisms hajambo.
 
Kimsingi jamaa yupo vizuri tuache chuki binafsi, hakuna kipindi bora cha michezo kwa sasa kama Sport extra, na tunapozungumzia sport extra basi tunamzungumzia bro shafii, maestro, jeff, alex na mshkaji wangu mbwiga. Acheni ushabiki wa...............
 
Kwa mujibu wa taarifa yao ya jana katika kipindi chao cha michezo extra wamesema walimtumakwenda kufanya kazi maalum na kwamba kazi hiyo imekamilika na taarifa kamili ya madudu yaliyofanyika katika uchaguzi wa DRFA itaanza kuwekwa hadharani kuanzia jumatatu katika kipindi cha sports bar.

Hata kama ameshindwa kwa haki mimi bado ninaamini uchaguzi haukuwa haki na huru kwani kabla ya kufikia hatua ya kupiga kura kuna mapingamizi yalitupwa kwa sababu za kihuni, kwahiyo wakata rufaa akiwemo Shaffii nilitegemea wangetoswa.

Kiujumla wachambuzi wa mpira tulionao kwa sasa nin wale wanaojua kufasiri habari za michezo toka blogs/mitandao ya ulaya na marekani, kwahiyo hakuna sababu ya kumlaumu Shaffii kwani hata Geoffrey Leah, Dr. Licky, na wengine wengti ni mambo ya copy & paste.
 
Kimsingi jamaa yupo vizuri tuache chuki binafsi, hakuna kipindi bora cha michezo kwa sasa kama Sport extra, na tunapozungumzia sport extra basi tunamzungumzia bro shafii, maestro, jeff, alex na mshkaji wangu mbwiga. Acheni ushabiki wa...............

Yaani hawa wadau mie siwaelewi kabisaaa!

Sijui kawakosea nini hawa jamaa? Hebu tuache mikwaruzano ya kwenye bar kuileta mpaka Jf! Maana wengine utawakuta kawanyang'anya wake ndo wanakuwa na chuki na Shaffii Dauda! Kwa ufupi jamaa anajua kuendesha kipindi cha Sports Extra! Period.

Hizo zingine sasa ni bangi tu! Mlipomsema Kibonde tuliwaelewa lakini kwa Shaffii hebu tutie adabu wakuu. Jamaa ni mzuri kwa michezo na analeta burudani ya aina yake kumsikiliza akitiririka habari za majuu!!

BIG UUUUUUUUUUUUUUUUUUUP SHAFFI DAUDA!!
 
Back
Top Bottom