AC Milan sasa kisu kikali

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,107
17,213
Mabao mawili ya kujifunga pamoja na yale ya Nocerino pamoja na mfungaji wa kileleni Serie A,Stephan El Shaarawy,yalitosha kuipa ushindi wa 4-1 dhidi ya Pescara katika Serie A. Kazi inaendelea!
 
allegri anafanya mambo sasa au sio 4 2 3 1 imeanza eleweka na wachezaji wake.
 
hii ni awamu ya JUVENTUS Bianconeri na berlusconi kasha fulia usajili wa wachezaji wenye viwango msiutegemee
 
hii ni awamu ya JUVENTUS Bianconeri na berlusconi kasha fulia usajili wa wachezaji wenye viwango msiutegemee

Unataka usajili upi sasa?
Manake usajili wetu wa manati ndio huohuo umewashikisha adabu msimu huu.
Sasa nini kingine mnataka?
 
Unataka usajili upi sasa?
Manake usajili wetu wa manati ndio huohuo umewashikisha adabu msimu huu.
Sasa nini kingine mnataka?
mchukueni chamakh aje amsaidie swahiba wake flamini,sasa naomba niulize swli la kizushi,je ac milan ikipambana na juventus,wenger anakuwa timu gani,maana huku ana bendtner,na huku ana flamini?
 
mchukueni chamakh aje amsaidie swahiba wake flamini,sasa naomba niulize swli la kizushi,je ac milan ikipambana na juventus,wenger anakuwa timu gani,maana huku ana bendtner,na huku ana flamini?

Atakuwa Juve...
Kwa sababu Flamini hana mkataba nae.
Ndoa yao ilishavunjia kitaaaambo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom