yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
nimesjikitika sana tena sana nilipoona usanii wa kupanga matokeo ya drfa tena siku hiyo hiyo ya uchaguzi ukumbini tena bila aibu nimeyaona hayo kupitia kipindi cha sports bar cha clouds..mimi si shabiki wa clouds lakini hapa nimewapa a big respect...kwa nchi zilizo sirias hii video ni ushahidi tosha wa kurudia uchaguzi na kuwaweka ndani wote wliokuwa wanafanya huo uhuni...kweli tanzania tuna safari ndefu sana kuendelea ktk kila nyanja duuuuuuuuuu!:A S-cry: