Amesema hataki kuwatumia samatta na ulimwengu kwa sababu hawana nidhamu ,kwani hiyo amejua hii leo au wakati anaenda kampala kwenye cecafa?wale hawajali awatumie au laa.Hii ilikuwa kwenye bench la Taifa Stars majuma machache yaliyopita pale Namboole (Mandela) Stadium, Kampala!View attachment 75629