Yanayowapata Yanga yanaweza kuwakuta na simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayowapata Yanga yanaweza kuwakuta na simba

Discussion in 'Sports' started by Nakapanya, Oct 9, 2012.

 1. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Tangu kuanza kwa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara Yanga imecheza takribani mechi tatu za ugenini(nisahihishwe kama nimekosea),katika mechi hizo kafungwa mechi mbili(Mtibwa na Kagera sugar) na wametoa droo mechi kama moja hv(Tanzania Prisons),na Yanga wamecheza mechi takribani mbili katika uwanja wao wa nyumbani(DSM) na wakashinda moja na kutoka sare moja.ukiangalia kwa mwenendo huu inaonyesha wazi kabisa kuwa pafomansi ya yanga katika mechi za ugenini nmi wabovu sana.Ka kuangalia hili naona wazi kabisa linaweza kutokea KWA TIMU YA SIMBA ambao tangu mwanzo a ligi mechi zao zote wamecheza DSM na kuwa na matokeo ya kufurahisha.
  hofu yangu inakuja pale amb a[po simba na wao watakapoanza kucheza mechi katika viwanja vya ugenini,je hayatawakutab kama haya yanayowakuta Yanga hivi sasa?
   
 2. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Magimbi sio bisibisi... !!
  Kwani mikoani wanacheza peku au ? Ni timu ya maneno mingi lakini wanaishia kulala mzungu wa nne hadi uwanjani. Usajili wa majina na kujazia namba hata zisizohitajika, Kagame ya kununua ndiyo vinawaponza. Kuongoza ufisadi sio sawa na kuongoza timu.... mtaishia kufukuzana na kushtakiwa FIFA kila siku...
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nakapanya, adui unamwombea njaa siyoeeee: ukiona Simba wamemtandika Coast Union kwao Tanga siku ya jumamosi ujue Ubingwa unachukuliwa mapema mno.
   
 4. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  wewe ni mshabiki wa Yanga? Naona kama unajitetea..
  we should always base on facts!!Yanga haijafanya vizuri!!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa shabiki wa simba mtabishana mpaka kesho ila siku zote mpira ni dk 90 tutawasubiri na wao walikamatwa kidogo na prisons wakamfukuzisha refa sasa wakianza kaitaba na mwanza sijui itakuwaje..
   
 6. M

  Masuke JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu unajifariji tu, kuanzia ugenini sio hoja, mwaka jana tulianza na JKT Oljoro kwao na tukacheza na Coastal kwao mechi ya pili na wote walipokea vipigo, hapo nimekutajia mbili tu na ndo zilikuwa za kwanza lakini zote tulishinda na kama unakumbuka mwaka jana sisi tumepoteza mechi mbili tu zote uwanja wa Taifa, moja tulifungwa na Yanga goli moja la Mwape na nyingine tulifungwa na Villa Squad goli moja la Nsa Job, kama mwaka jana tulifanya vizuri mechi za mikoani iweje mwaka huu uone kwamba tutafanya vibaya?
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwani yanga ya twite ilifungwa na kagera sukari, kwani walilala wanne wanne tena?..twite alicheza?
   
 8. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  na vipi wakifungwa?
   
 9. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  mimi sijakataa kwamba yanga wamefanya vibaya,halafu mimi si mshabiki wa yanga hata kidogo ila nilikuwa najaribu kufanya comparative analysis
   
 10. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Mimi si mshabiki wa Yanga,mi ni shabiki wa Simba tena sana ila nimepata wasiwasi baada ya kuona yanayowakuta wapinzani wetu kwamba yanaweza kutukuta hata sisi,sijaelewa ni mpangilio gani huu wa ratiba ambao tangu ligi inaanza timu imecheza mechi zake zote kwenye uwanja wake wa nyumbani,hili ni tatizo kwa kwelki
   
 11. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  nikikusoma kwa karibu nawea kusema kuwa yanga itakuwa bingwa. Sababu round 2 watatulia nyumbani, lakini soka ni tofauti kabisa, unapata matokeo vile ulivyojipanga.
  Kama umetumia M 100 za mkopo kutoka quality group ili utoe draw na Simba, huku wachezaji wakiwa hawapati posho kwa wakati, huwezi kushinda mechi.
  Waridhishe wachezaji kwanza, wale vizuri, wasibanane kwenye kulala utaona matokeo yake.
   
 12. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  hii imetulia, majibu yapo humu!
   
 13. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,924
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  dua la kuku halimpati mwewe....
   
 14. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,156
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  Sababu ya kijinga hiyo. Nani aliyekwambia mpira wa siku hizi unanyumbani na ugenini. Tazameni mpira ya ulaya then ndio mtajua mpira vizuri. Mbona Azam non stop.
   
 15. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ubingwa unaweza kuchelewa japo utachukuliwa.
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ni kweli kabisa hili limeanza kuonekana sasa..
   
 17. p

  pilau JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Haujasomeka
   
 18. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu embu nisaidie kunikumbusha,hivi matokeo ya mechi hiyo uliyokuwa unajaribu kuiongelea hapa ilikuwa ngapingapi vile?
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nani ana matokeo ya mechi ya simba na coastalunion tanga atujuze?
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Unakompeyaje vitu visivyofanana?

  Simply,

  SIMBA ≠ YANGA
   
Loading...