Copa Del Rey: Ni Real Madrid vs Atletico Madrid

Copa Del Rey: Ni Real Madrid vs Atletico Madrid

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
Baada ya jana kutoka sare ya 2-2 na Sevilla na hivyo kushinda kwa jumla ya mabao 4-3,timu ya Atletico Madrid imeweka miadi ya kupambana na Real Madrid katika fainali ya Kombe la Mfalme la Hispania almaarufu kama Copa Del Rey. Itakuwa ni kati ya Christiano Ronaldo na Radamel Falcao.Kwa ufupi:

[h=2]Final[/h][TABLE="class: matches"]
[TR="class: sub-head"]
[TH="class: day"]Day[/TH]
[TH="class: date"]Date[/TH]
[TH="class: team team-a"]Home team[/TH]
[TH="class: score-time"]Score/Time[/TH]
[TH="class: team team-b"]Away team[/TH]
[TH="class: events-button button"] [/TH]
[/TR]
[TR="class: even expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]Sat[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]18/05/13[/TD]
[TD="class: team team-a"] Real Madrid [/TD]
[TD="class: score-time status"]- [/TD]
[TD="class: team team-b"]Atlético Madrid [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hapo kazi hipo, hawa jamaa sio wa kuwabeza ni wazuri na Real hili ndilo kombe wanalolitolea macho maana UCL alieleweki na la ligi Barca wameshajihakikishia.
 
Kweli patakuwa hapatoshi Hata Atletico Madrid wameshavuliwa ubingwa wa Europa.Nao wanalipigania sana kombe hilo
 
Final itakua nzuri though Atletico ni wateja wazuri wa Madrid, watakaa tu!
 
Final itakua nzuri though Atletico ni wateja wazuri wa Madrid, watakaa tu!

Mpira hauna adabu kaka, siku zote Mtibwa uwa wanafungwa kirahisi na Simba lakini mwaka huu kaokota pointi zote sita.
 
Back
Top Bottom