Barcelona kwa Madrid kama Form four.

Barcelona kwa Madrid kama Form four.

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,197
Reaction score
11,628
Ha ha hawa Barca vipi hawana mtaala kabisa messi wapi?
 
Vilaza bwana, sisimizi akiona ganda la muwa la jana anaona kavuna kivuno. Hamjazoea kushinda ila tumezoea kushinda hii kwetu ni challenge we are going to overcome.
 
Barca kitu gani?
-kwenye rekodi ya kuchukua ubingwa wa Ulaya [UCL], inapitwa timu kibao.
Ligi ya hispania yenyewe Barcelona imeachwa mbali na Madrid katika rekodi ya kuchukua ubingwa mara nyingi..Barcelona ni timu nzuri lakini sasa inashuka ubora wake polepole itakuja kuwa kama Malaga au Valencia muda si mrefu!
 
Nilidhani sheik Yahya hajaacha mrithi kumbe ni wewe.
 
Bado Barca iko juu kiujumla ingawa kw sasa tukubali Madrid wameweza kuwapa somo Barcelona kwmba possession bila magoli ni mke bila mtoto..!!! Madrid walicheza vizur na walistahili.
 
Wale waliokua wakimponda Guardiola na kusema kua hna kazi kwmba Barcelona inaweza kucheza bila kocha sasa watakua wamejifunza kitu... Hata timu iwe na wachezaji wazur kivip bado kocha ni sehem ya timu huwez kuweka pemben contribution yke!
 
Back
Top Bottom