Michezo na siasa tanzania

Nsaji Mpoki

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
396
65
Taarifa zilizotufikia kutoka kwa wadau ni kuwa mhe. Waziri mwenye dhamana ya michezo ameagiza tff ifanye uchaguzi kwa kutumia katiba ya 2006. Tunachokiona; siasa ikiingilia michezo fifa itatufungia. Maana yake ni kwamba timu zetu hazitashiriki mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu. Tusubiri tuone mwisho wake.
 
Serikali kwa kupitia waziri wa habari ,vijana ,michezo na utamaduni Dk.Fennela Mukangara imeingilia kati na kubadilisha mchakato wote wa uchaguzi wa TFF kwa madai ya kuwa katiba iliyotumika si halali na kutaka uchaguzi huo ufanyike upya kwa kupitia katiba mwaka 2006 na kwamba kwa kutumia ibara ya 10 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumuondoa msajili wa vyama na vilabu michezo.
 
Nimefurahi sana serikali kuingilia TFF kwani hii hali wameisababisha wenyewe wakati mkutano wa wanachama wa simba wa mpira pesa ulipozuiwa na polisi pamoja na naibu waziri wa habari na michezo sikusikia tamko lolote likitoka TFF kulaani kitendo hicho hali hiyo imewapa kiburi watendaji wa wizara kujiona wako juu ya sheria
 
Back
Top Bottom