SERIE A : Vita ya Wababe wanne

SERIE A : Vita ya Wababe wanne

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
Ijumaa na Jumamosi ijayo,timu nne za juu katika Serie A zitaingia vitani kusaka alama za ushindi. Wa kwanza atapambana na wa pili;wa tatu na wa nne.Mambo yatakuwa hivi:

[TABLE="class: matches"]
[TR="class: even expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]Fri[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]01/03/13[/TD]
[TD="class: team team-a"] Napoli [/TD]
[TD="class: score-time status"] 22 : 45 [/TD]
[TD="class: team team-b"] Juventus [/TD]
[TD="class: events-button button"][/TD]
[TD="class: widget1x2-button button"][/TD]
[/TR]
[TR="class: odd expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]Sat[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]02/03/13[/TD]
[TD="class: team team-a"] Milan [/TD]
[TD="class: score-time status"] 22 : 45 [/TD]
[TD="class: team team-b"] Lazio[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Juve the Bianconerri hapo lazima washinde!! na Escudeto ni yetu tena msimu huu
 
Match na Napoli ndio itatupa ubingwa, na kama Milan wakimfunga Lazio itapendeza zaidi
 
ubingwa wa Italia mnauzungumzia vp wakati hamjacheza na Milan, Inter, Roma na SS Lazio?
Hebu acheni uhuni wa Torino huo
 
na hapo katikati kuna timu za kuwapunguza kasi kwa droo...
Acheni habari zenu hizo.
 
Gang Chomba mbona mapovu yanakutoka kaka. JUVENTUS ANABEBA UBINGWA TENA. Nimebakiza mechi na Inter na Ac milan, Roma na lazio nimemalizana nao nadhani. Wewe omba Mungu uipate nafasi ya pili, bila shaka na mimi naombea iwe hivyo. But ubingwa tuachie wenyewe wanyamwezi wa Vinovo maeneo ya Torino hapo. Assagneto Marti.
 
ubingwa wa Italia mnauzungumzia vp wakati hamjacheza na Milan, Inter, Roma na SS Lazio?
Hebu acheni uhuni wa Torino huo

Chomba bhana,sasa wewe umeona kabisa ndani ya chumba kimoja kafungiwa chura,nyau,jogoo na Simba.,halafu unaulizwa mlango ukifunguliwa nani atakutwa kameza wenzie we bado unazunguuka tuu!
 
Chomba bhana,sasa wewe umeona kabisa ndani ya chumba kimoja kafungiwa chura,nyau,jogoo na Simba.,halafu unaulizwa mlango ukifunguliwa nani atakutwa kameza wenzie we bado unazunguuka tuu!

Kwa kwa kwa kwa kwaaaaaa!
 
Chomba bhana,sasa wewe umeona kabisa ndani ya chumba kimoja kafungiwa chura,nyau,jogoo na Simba.,halafu unaulizwa mlango ukifunguliwa nani atakutwa kameza wenzie we bado unazunguuka tuu!

teh teh teh teh,mbuzi kammeza simba
 
Back
Top Bottom