Simon sinkala
Member
- Feb 17, 2013
- 6
- 1
ukiskia kwenye msafara wa mamba na kenge wamo ndio hii, timu ya mpira wa miguu ya jijini mwanza toto africa, ipo katika hati hati ya kushuka daraja, wachezaji wana miezi kazaa neno mshahara kwao ni geni kabisa, leo hii wameokota pochi la mzungu, kwenda dar wamepanda ndege, wakati moja ya sababu zinazo changia timu kufanya vibaya ni wachezaji kuto kulipwa mishahara. Je wanadhani kuwadanganyishia ndege watarudisha morali ya wachezaji?