Nenda Hans Pope nenda Godfrey Nyange Kaburu

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
  1. Nimepokea kwa furaha kuu kujiuzuru kwnu... uamuzi huu mmechelesana kuuchukua...
  2. Mmekuja simba na kupewa uongozi nyadhifa kubwa bila kuwachunguza kama kweli mlistahili nyadhifa hizo au ni ubabaishaji ulitumika katika kuwachagua au kuwateua...
  3. Mmefanya usajili wa ajabu ajabu kwa gharama kubwa lakini wachezaji mnaowaleta ni feki.. mlisajili Congo, Kenya, uganda, Ivory Cost, na hapo hapo mkauza wachezaji hovyo hovyo bila kutafuta mbadala ya wachezaji mnaowauza...
  4. Mkafukuza makocha bila kuwana mpangilio... kwa kweli mmekuja Simba lakini mmeiharibu Simba hakuna mlichokifanya cha ziada bali mmeuza sura na kujulikana pasipo manufaa kwa klabu...
  5. Ondokenieni.... mlivyoikuta Simba mtaiacha na itaendelea kuwepo ... wapo waliopita katika uongozi na hata uchezaji... kwa maana hiyo nendeni kwa salama...
  6. Wanachama wa Simba kuweni makini na kukurupuka kuchagua viongozi ambao sio watu wa mpira... angalieni na historia zao kama kwli wanapenda BANGO la Simba au wababaishaji.....
 
baada ya mechi ya yanga simba itavunjwa!!!!
 
.......Pamoja na mambo mengine yote lazima itayarishwe ripoti ya makabidhiano inayoelezea tarifa kamili ya maumizi ya pesa hasa usajili wa ajabu ajabu....na lazima TAKUKURU... ipenye na kufanya uchunguzi wa kina....
 
Bado tu mnaendelea kushabikia mpira ambao wachezaji hufanya mazoezi kwa kulala makaburini? Mimi nilishatoka huko zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Sasa na wewe unashabikia mpira ambako watu weusi huitwa nyani!!!!!!!!!!!!!?????? Wajiona mjanjaaaa.
 
makamu mwenyeketi simba naye amejiuzulu. chezeya libolo weye!. mia
 
Sasa na wewe unashabikia mpira ambako watu weusi huitwa nyani!!!!!!!!!!!!!?????? Wajiona mjanjaaaa.

Mazee ungekuwa na akili ungeniuliza nashabikia nini sasa/mpira wa wapi, na usingejaribu kufikia conclusion kwa kitu usichokijua.
 
Aliyekuwa makamo mwenyekiti wa club ya simba ndugu kaburu naye ametangaza kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa akizishikilia ndani ya club hiyo.
Kujiuzulu kwa kaburu kunakuja wakati tayari mwenyekiti wa kamati ya usajili ndugu zachary hans pope akiwa ameishajiuzulu.

Sorce: clouds fm sports extra.
 
Timu inafanya vibaya wanajiuzulu viongozi badala ya kocha! Huu ndiyo mpira wetu, kwa kweli bado tunasafari ndefu sana.
 
Wameafanya vizuri kwa muda mrefu hawa watu wamejitolea lakini mharibifu mkubwa ni rage kuondoka kwao ni njia mojawapo ya kumlazimisha rage ama ajiuzulu au aitishe mkutano kiini cha tatizo simba ni rage amegeuza timu kama mali yake binafsi
 
.......Pamoja na mambo mengine yote lazima itayarishwe ripoti ya makabidhiano inayoelezea tarifa kamili ya maumizi ya pesa hasa usajili wa ajabu ajabu....na lazima TAKUKURU... ipenye na kufanya uchunguzi wa kina....

Kama nakubaliana na wewe vile - Simba watangaze mapato na matumizi kama walivyofanya Yanga,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom