na kama wanaanza kusambaratika sasa ina maana watasambaratika tena!bora wasubiri hiyo wiki wamalizane!!Kwa mwendo huu lazima tuwapige siku za wiki
Mumfunge nani nyie YeboYebo?
Mmebaki kuwa kama Liverpool wazee wa makumbusho, history haichezi mpira!!
Mmebaki kuwa kama Liverpool wazee wa makumbusho, history haichezi mpira!!
simba ni maarufu kwa kuuza wachezaji...kwa nini wasimuuze na mwenyekiti wao?
la hasha sisi ni Libolo no 2 ,subiri tucheze siku hiyo utajifungua watoto wawilli halafu wataitwa Libolo 1 na libolo 2 .:wink:Mumfunge nani nyie YeboYebo?
SIMBA IMEPIGWA GOLI 5-0 KATIKA MICHEZO MIWILI YA LIGI YA KLABU BINGWA YA AFRIKA ,HIZO GOLI ZIMERUDISWA BAADA YA KUNUNUA MECHI DHIDI YA YANGA MWAKA JANA.HAHAHAHAHAHA ,NA SASA FAINALI YA FUNGA MWAKA MWEZI MEI 2013 .:yo::high5:Mmebaki kuwa kama Liverpool wazee wa makumbusho, history haichezi mpira!!
Mumfunge nani nyie YeboYebo?
Hivi Simba iliwahi kuchukua kombe lolote nje ya mipaka ya Tanzania? Kuna mtu hapa nasikia anasema kwamba Simba haibebi kombe mpaka mashindano yafanyike hapa nchini? Kuna ukweli wowote hapa?