JKT Oljoro Vs Tanzania Prisons 06.03.2013

JKT Oljoro Vs Tanzania Prisons 06.03.2013

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
8,169
Reaction score
3,360
Wakuu nipo leo uwanjani hapo kuwaletea matukio yote yatakayojiri katika 90dk zote.

Mpaka sasa timu zote zimeshaingia uwanjani na mpira umeshaanza huku matokeo yakiwa bila bila.
 
Ni kona inapigwa kuelekea TP, inapigwa lakini inakuwa kona butu. JKT walifanya shambulizi hapa na mpira kuwa goal kick
 
Kiujumla mashabiki waliojitokeza hapa uwanjani siyo wengi sana na kila timu inajitahidi kupata bao la haraka haraka.
 
TP timu ilishaandika bao lakini refarii akasema yalifanyika madhambi kabla ya mpira kuingia kimiani. Hivyo hadi sasa bado milango ya timu zote bado ni migumu.
 
JKT wanakosa bao hapa, mashabiki wanamlau refa kwa kuwanjima penalti ya wazi kabisa.
 
JKT wanaandika bao la kuongoza katika kipindi hiki cha pili. Hivyo matokeo ni JKT 1 - T Prisons 0.
 
Back
Top Bottom