Tufanye nini ili tushiriki world cup

Tufanye nini ili tushiriki world cup

Ndaukanyo

Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Huwa najiuliza nini hatuna ambacho kinatufanya tushindwe kushiriki kombe la dunia?je tatizo ni kukosa vipaj au uwekezaj duni katka soka au tatizo ni uongozi.nini hatuna katika hili?wana jf naomba maoni yenu juu ya hili
 
uzandiki na kujuana kwingi kukiisha tu tutacheza afcon kwanza..
 
uzandiki na kujuana kwingi kukiisha tu tutacheza afcon kwanza..

Nashukuru ndetichia kwa kuufungua mjadala huku kujuana na uzandiki kwa viongoz wetu kumekuwa kikwazo kwa maendeleo ya soka letu
 
Aondoke kayuni pale tff

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Aondoke kayuni pale tff

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
TUACHANE NA KASUMBA UYANGA USIMBA ,HALAFU TUWAPE WAZALENDO TIMU B YA TAIFA ILI WAANZE KUIANDAA MAPEMA, HIYO KASUMBA YA MAKOCHA WA KIGENI TUACHANE NAYO .:frusty:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom