yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Wajameni Chama letu la Jiji la MWANZA LIANELEKEA KUSHUKA DARAJA please toa mchango wako juu ya nini cha kufanya kuisaidia timu letu liisshuke.Na ikinusulika toa mchango wako wa mali na hali ili ishiriki kwa mafanikio ligi kuu ijayo na tufanye usajili wa kufa mtu!