Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Karibu upate updates za uhakika bila chenga. Karibu tujadili. UPDATES. 8 MINUTE Dakika ya 8 Borusia ya funga bao kupitia kwa LEWANDOWSKI. Dortmund v/s Madrid 1-0 UPDATE: 23 MINUTE...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naam draw ya uchezeshaji wa champion league ndo imeisha na results kama zilizopo hapo juu! Barca kama timu huwa hatuogopi tutapangiwa na nani ,ila timu pinzani huanza mashaka tele!!ushahidi ninao...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
ndo nini hivi aloo,...kweli michezo ni burudani tosha si soka tu bali hata vituko vinavyofanyika uwanjani ni burudani..
1 Reactions
25 Replies
5K Views
SIMBA na Coastal Union ambazo zimeshikilia ubingwa wa Yanga zimepata siri nzito ya Yanga ambayohuenda wakaitumia kuwadhibiti kwenye mechi mbili zilizosalia ambazo ni muhimu kwa heshima ya Yanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia hii ni mara ya pili huyu Suarez kung'ata mchezaji wa timu pinzani. Yawezekana huyu jamaa ni Omnivorous si kawaida kwa binadamu kumng'ata mwenzio pasipo ugomvi Hii...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Kama kuna kitu Mmiliki wa team ya Azam FC angependa kitokee ni kwa team yake kutwaa ubingwa wa soka wa nchi hii na kupata fursa ya kuiwakilisha nchi katika michuano ya Club Bingwa Africa. Pamoja...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana usiku barca walijisogeza mbele zaidi kuelekea kuchukua La liga ni baada ya kuichapa Lavante 1 bila tukiwa nyumbani nou camp. Mechi hiyo ambayo kidogo timu pinzani ya lavante ilionyesha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Football / Soccer Live Scores and Match Results - ESPN FC Utapata update kila dakika ingawa hautaona moja kwa moja
0 Reactions
3 Replies
993 Views
HIGHEST PAID FOOTBALLERS!!!!!!!!!!!!!! DAVID BECKHAM(32MILLION EUROS) LIONEL MESSI(28MILLION EUROS)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ilivokuwa kawaida ya timu yoyote ikipangiwa na Barca lazma waanze kutapa tapa au mashabiki wa madrid lazima waiombee dua baya lakn kama unavyojua dua la kuku halimpati mwewe ndo vijana wa...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Nadhani nimee leweka japo sintakua uwanjani (kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu) ila nitaendelea kufuatilia kupitia 277 yanguAKA mkulima
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Celtic retained the Scottish Premier League championship title following a comfortable home victory against Inverness Caledonian Thistle. Joe Ledley's right-footed drive in the 66th minute was...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
haya jama premier league ndiyo hiyo iko ukingoni kuiisha na kabla haijaisha man u ndio tayari kashatangaaza ubingwa kwa kua na point 84 dhidi ya man city 68points na michezo ikiwa imebakia 4 tu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
unaeza pigwa chupa bar kisa unashabikia ubingwa wa man united...watu cjui wakoje? wivu umewajaa
0 Reactions
0 Replies
861 Views
nan kama van persie!?
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Huwa siku zote najiuliza kwamba ni timu gani ya ulaya yenye mashabiki wengi zaidi ya nyingine kwa hapa bongo? hivyo basi nimeamua kuanzisha hii thread ili kupata sample ya wapiga kura 500 ambao...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Kanakwamba natania niko srs kama mtapata hata draw morocco ahadi yangu ya furaha kuvua nguo ipo pale oale safari hii itakuwa uwanja wa ndege lkama mtafanikiwa hata draw na hii timu pamja na hayo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leopards fans go on rampage at Nyayo Stadium Security officers attempt to subdue a violent AFC Leopards fan who invaded the pitch during their KPL Top Eight match...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
By ANDY JAMES PUBLISHED: 07:22 EST, 22 April 2013 | UPDATED: 07:22 EST, 22 April 2013 A Kenyan referee is suing the national football federation, saying he was left impotent after a coach...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom