NBG (Nederlands Baogenootschap) pamoja na KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Sita ya Mchezo wa Bao
Wanaruhuswa kushiriki mabingwa na wanafunzi.
Chama cha Bao cha Uholanzi, NBG (Nederlands Baogenootschap), kinakualika kucheza Bao la Kiswahili katika nchi nje ya Afrika.
Anayetaka kushiriki katika mashindano haya hatakiwa kuwa mwanachama wa chama chochote. Wachezaji watawekwa katika makundi mbalimbali kulingana na fani zao. Ukiwa bado mwanafunzi wa mchezo huu, usikose nafasi hii ya kukutana na wachezaji wengine na ya kujifurahisha katika Societeit Theseion Bierkade 13,
mjini Den Haag (Uholanzi).
Washabiki kutoka Kenya au Tanzania hukosi kutusaidia kusambaza mchezo huu wa jadi wa Afrika Mashariki!
Tembelea tovuti ya KIBA (Bao) kwa maelezo zaidi na ukitaka kucheza kwa njia ya barua pepe na kufanya mazoezi.
Tarehe za mashindano:
Novemba 2-3, 2013.