Mwanaspoti kama shigongo media.

Mwanaspoti kama shigongo media.

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Kuna habari imeandikwa katika gazeti hili la michezo,inahusu ligi ya Kamwambale ktk JIJI LA MBEYA.
Ukweli ni kwamba hii ligi ilikoma tangu mwezi wa kwanza mwaka huu na mshindi ilikuwa timu ya TEMEKE inayomilikiwa na Muuza nyama ya Ng'ombe ( Butcher) anayeitwa JACK,sasa hii habari imeandikwa katika gazeti la leo as if ligi bado inaendelea!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375544758180.jpg
    uploadfromtaptalk1375544758180.jpg
    95.5 KB · Views: 112
kamsome edo halafu ligawe maana ndio limeisha umuhimu wake..
 
Back
Top Bottom