capuccino
Member
- Jul 31, 2013
- 8
- 1
With the presence of Torres, Ba, Moses, Lukaku amid the 'three Amigos'.. I don't really think Rooney is of any necessity to the Chelsea team. What do you think
hamna umuhimu kwanza kiwango chake kimeshuka
Kuna striker mwenye kiwango cha kumzidi Rooney Chelsea?
Kuna striker mwenye kiwango cha kumzidi Rooney Chelsea?
Did you really mean this? I think torres tu mwenyewe anamtosha. But thats beside the point..i still dont think rooney will add much to th current squad.
Then again am not Mou...
Torres is far better than Rooney
Did you really mean this? I think torres tu mwenyewe anamtosha. But thats beside the point..i still dont think rooney will add much to th current squad.
Then again am not Mou...
Mourinho siku zote ni kocha anayetaka wachezaji wanaoweza kucheza nafasi zaidi ya moja na wenye spirit ya ushindani(Drogba,Essien,Cambiaso,Zanetti,Ramos,Coentrao) na Rooney ni mmojawapo.Sidhani kama Ba na Mosses wanafit kwenye mipango ya Mourinho
Labda Lukaku mwakani sidhani kama Ba,Mosses na Torres watakuwepo kumbuka tayari Chelsea wana viungo kama Hazard,Mata,Oscar,De Bruyne,Ramirez,Lampard ambao wote ni wafungajiHalafu Mkuu do me a favour just be honest, kuna striker wa kumzidi Rooney hapo Chelsea?
Labda Lukaku mwakani sidhani kama Ba,Mosses na Torres watakuwepo kumbuka tayari Chelsea wana viungo kama Hazard,Mata,Oscar,De Bruyne,Ramirez,Lampard ambao wote ni wafungaji
Sio kisiasa naona Lukaku atakuja kuwa mkali sana,Ba na Mata ni wachezaji wa timu ndogo Torres wa ukweli alikuwa LiverpoolUmenijibu kisiasa
Sio kisiasa naona Lukaku atakuja kuwa mkali sana,Ba na Mata ni wachezaji wa timu ndogo Torres wa ukweli alikuwa Liverpool