Baada ya leo tar26.04.2013 Azam kwenda drow ya bao 1-1 na Coast Union,matokeo hayo yameipa ubingwa club ya Yanga na sasa ndio mabingwa wapya.
Tukiwa tunajiandaa kwenda kwenye kombe la kagame...
Benitez anatuzingua, ila habari njema kwa wadau wote ni kuwa "THE SPECIAL ONE" anarudi na anakuja na R.Falcao. Nimesoma kwenye mtandao kocha wa Young boyz yaan ARSENAL ameisha anza kuhaha... Big...
Salaamu kwenu wale wenzangu wapenzi wa masumbwi au ndondi!
Pambano: Trevor Berbick Vs Mike (Iron) Tyson
Pamoja na mapambano kadhaa ya kuvutia yaliyowahi kuchezwa ktk sayari hii, binafsi navutiwa...
Arsenal manager Arsene Wenger has nominated one of Manchester United's champions as a worthy winner of the PFA Footballer of the Year award - but it is not former Gunners captain Robin van...
The special one!:biggrin::biggrin::biggrin:
Najua Real Madrid bado wana nafasi kubwa ya kuingia fainali kuliko Barca lakini haya matokeo yatakuwa yamekata ngebe za Mourinho. Ile safari ya kukimbia...
Robert Lewandowsky yupo tayari kujiunga na MAN UTD na kukacha Bayern. Ni habari njema kwetu mashabiki w the Red Devils.
Kwa mujibu wa habari za daily star zimekariri vyombo vya habari vya...
SIMBA na Coastal Union ambazo zimeshikilia ubingwa wa Yanga zimepata siri nzito ya Yanga ambayohuenda wakaitumia kuwadhibiti kwenye mechi mbili zilizosalia ambazo ni muhimu kwa heshima ya Yanga...
Ni viongozi niliwaona wana msimamo lakini kwa hili la kurudi simba ati kusimamia usajili kwani umeambiwa usipokuwepo simba usajili aufanyiki .umezalilisha na familia kwa kweli naamini atutitaji...
ni nusu fainali ya pili ya klabu bingwa barani europa inayozikutanisha timu za unbeaten this season of UCL Borusia Dortmund dhidi ya Real Madrid.
Dortmund hawakupewa nafasi kubwa ya kufika hapa...
Watching Indian cricket legend Sachin Tendulkur play is like watching God perform miracles! Another madness from 80's movies, cricket is the essence of life!
Katika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za...
Look at these two pictures then compare and contrast the decision made by the FA after each action.
Any fairness...!?
Any consistence..!?
Note: Dont be driven by emotions when commenting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.