Arsenal wamwadabisha mancity

Arsenal wamwadabisha mancity

kwenye ligi mnachemsha, uwa kazi kugombea nafasi ya nne

Mkuu, ilibidi kugombea nafasi ya nne kutokea mwanzo mbaya sana kuwahi kutokea, na iliwezekana. This time hakutakuwa na mwanzo mbaya kaka. Bila huyo Suarez pia inawezekana maana hao Liverpool hawana dalili ya kumuuza na haiwezekani kulazimisha, bado Prof ana jua anachokifanya, subiri tu mwezi ndio huu mambo yanaanza, mbivu na mbichi zitajulikana.
 
Sio kwa arsenal hii ndugu.ila kwa nafasi ya nne nakubali
 
ndio zenu,wenga kazi nzuri anayofanya ni kukuza vipaji
 
Ni vipaji ambavyo vinangangania top four kila season na pia kwa zaidi ya misimu 15 uefa champions league havibanduki na ni ndoto kwa Liverpool kufanya hivyo kwa sasa.
 
Sio kwa arsenal hii ndugu.ila kwa nafasi ya nne nakubali

Turudi hapa baada ya kuanza msimu huu baadae mwezi huu na tufuatilie kwa karibu, then tutabiri kwa mwenendo wao, kwa sasa ni mapema mno.
 
Back
Top Bottom