Rooney aamua kubaki united

Rooney aamua kubaki united

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
734
Ni habari njema kwa mashabiki wa Wayne rooney, Man utd na mpira kwa ujumla ya uamuzi wa Rooney kuamua kubaki utd! Nafurahi kujua sasa timu itatulia, na ushirikiano utaimarika zaidi.
Pamoja na hilo, Luiz suarez naye asisitiza kubaki liverpool. nadhani na wao watatulia sasa
 
Hizo taarifa mmezipata wapi? Subiri mpaka dirisha la usajili lifungwe

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Ni habari njema kwa mashabiki wa Wayne rooney, Man utd na mpira kwa ujumla ya uamuzi wa Rooney kuamua kubaki utd! Nafurahi kujua sasa timu itatulia, na ushirikiano utaimarika zaidi.
Pamoja na hilo, Luiz suarez naye asisitiza kubaki liverpool. nadhani na wao watatulia sasa

Hizo taarifa umepata wapi? Nimepekua magazeti mengi ya Uingereza sijaona. hebu nisaidie hiyo source.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom