Jamani mashabiki wenza mlio ktk JF naomba nisaidie maana binafsi nashindwa kuelewa labda kwakuwa niko bali na tanzania (mwanza). Mi ni mshabiki mkubwa wa yanga na siwezi shabikia timu nyingine zaidi ya YANGA. na ndiomana hata kuandika jina naandika kwa herufi kubwa. sasa kitu ambacho nashindwa kuelewa ni kwani YANGA hawataki mechi zetu zionyeshwe kwenye runinga? je hawapendi sisi mashabiki wake tulio miguuni mwa nchi tuone? naomba ndugu zangu mnisaidie nisijekuwa na mi naona km wanakosea kumbe wako sahihi. ishu nini? je ni PESA au kuna kitu kingine nyuma ya pazia. Nisaidie ili nami nijue maana mi sioni tatizo mechi kuoneshwa ni mm mwana YANGA mwanza.