why always Arsenal..!

why always Arsenal..!

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
kiukweli Arsene wenger anaboa balaa...pexa zipo kununua wachezaji anaona ubahili,anapenda wachezaji wa mafungu wa bei chee ona leo tulivyoburuzwa had noumer daa!! but a'm arsenal number one fan until i die!!
 
pole mbona ID yako inaonesha kwamba wewe ni MAN U Legend!!!
 
With this team, your days of membership are numbered. Until you die? The day is not far off. If disappointment wont kill you, you will die - god forbid - of heart attack!
 
Polen xana mafnc we2 wa arsenal ,2kumbuke kwenda kuangalia THE BLUES anavyofanya mambo kesho
 
naona siku zangu zinakaribia kwa haraka ningelikuwa nina uwezo ningeliomba fans wote wasusie kwenda uwanjani mechi tatu kuanzia ya Jumatano vyenginevyo kila mwaka bodi hii yetu itacheza mchezo uleule, mimi tayari nimeishatowa matumaini ya silverware kwa msimu huu hata kombe la mbuzi
With this team, your days of membership are numbered. Until you die? The day is not far off. If disappointment wont kill you, you will die - god forbid - of heart attack!
 
kashindwa kumsajili luis gustavo?? tht kocha is a fool.
 
kiukweli Arsene wenger anaboa balaa...pexa zipo kununua wachezaji anaona ubahili,anapenda wachezaji wa mafungu wa bei chee ona leo tulivyoburuzwa had noumer daa!! but a'm arsenal number one fan until i die!!

Surely, you'll die young!
 
haya mambo ya bodi nayo yana madhara yake....kwangu mimi,naona Arsene ameshatoa skills zote alizotakiwa kutoa...na hastahili kuwepo pale,ni kocha mzuri,lakini yuko kwenye wrong team(currently).....
kaniudhi sana huyu mzee.....Arsenal for life....
 
Back
Top Bottom