Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
946
Wanajangwani wote jiandaeni kwa kushangilia kuchukua "ndoo" ya kwanza leo.
Matokeo yatakua:Yanga2-0Azam.
Na wale wanazi wa dadake Azam pia wawepo jamani ili kushuhudia 'LIBOLO'likiipekenyua ile kitu ya mdogo wao!!

Cc Masuke ndetichia ACCOUNT FULL watu8 Kitoabu Revocatus Kashaga 'aka'rage hekimatele Nyenyere ALEYN na wengineo ambao sikuwataja.

Kikosi cha Yanga:
1.Ally Mustafa 'barthez'
2.Juma Abdul
3.David Luhende
4.Nadir Cannavaro
5.Mbuyu Twite
6.Athumani Idd Chuji
7.Saimon Msuva
8.Salum Telela
9.Kavumbagu
10.Tegete
11.Niyonzima'fundi'
 
Last edited by a moderator:
Leo kipigo kizito kitaiangukia azam, waache wakae kimya tu km walivokaa kimya apa jukwaani
 
Brandts tupangie Mrisho Halfan Ngassa atutoe kimasomaso leo. Yanga tupeni burudani jamaniii.
 
Mechi ya leo itakuwa nzuri sana na ya ushindani ila kama kawaida ngoma ya kitoto huwa haikeshi...
 
Last edited by a moderator:
Minilifikiri mtachukua ubingwa (kombe) kume ndoo!! nendeni sido zimejazana tele.
 
Brandts tupangie Mrisho Halfan Ngassa atutoe kimasomaso leo. Yanga tupeni burudani jamaniii.
Sidhani nasikia kafungiwa mechi sita sina hakika pia kama hii ya leo inahusika.
 
Leo yanga lazma washinde c mnajua tena ynga ndio tim bora hapa tz
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom