Kuna uzi upo humu ndani unaongelea juu ya dau la kutakiwa Mwinyi Kazimoto na waarabu kwa $2,000.Hi ni Simba wenyewe waliamua kuivumisha ili kuwaziba macho na masikio wanachama wao na mashabiki wao...
Man city,man united,chelsea zote zimebadili makocha ambao wanakuja na mbinu mpya ambazo zitachukua mda kuzoeleka kwa wachezaji,hii ni advantage kwa babu yetu wenger kuwashika,mwaka wa tisa huu duh...
Rumours are often blown out of proportion especially in the transfer season where there is nothing else to write about actual football results. But we ought to be cautious not to dismiss most...
HERE IS WHERE YOU GET INSTANT NEWS AND UDATES...
PLS ADD TO THE LIST TUNUFAIKE ZAIDI...
NOT ARRANGED IN ORDER...
1. http://www.dailymail.co.uk/sports
2. NoEasyGames.com
3...
Wakuu samahani kwa kosa nlofanya la kuitaja cocacola badala ya pepsi cola. Habari iko hivi;
==========================
Dar es Salaam. Sakata la Yanga kugomea udhamini wa Azam Tv limechukua...
Kitendo cha Emmanueli Okwi kugoma kurejea Tunisia kukalia benchi kunamfanya Mrisho Ngassa aonekane mwenye busara zaidi na aliyeona mbali. Sasa Okwi inasemekana yuko radhi mkataba wake uvunjwe...
Tunaamini nchi ya Brasil ni mahiri mno kwa soka na ndio maana watu wengi huipenda timu yao ya taifa hasa mie. Jambo linalonishangaza ni kuona hivi karibuni vilabu vyao vikicheza na vilabu vya...
Chukulia we ndo ungekuwa kocha au owner wa timu kama
West Ham United au Sunderland au Newcastle
any team ya EPL kasoro zile big 6...
na una bajeti ya dollar milioni 40 kusajili ungesajili nani na...
Mourinho announced the11 players to start the first half is as follows:
Petr Cech, Wallace, Tomas Kalas, John Terry, Ashley Cole,Frank Lampard, Michael Essien, Lucas Piazon, Kevin De Bruyne...
Ni kama dhalau fulani hivi lakini ndio ukweli.Timu ya Daraja la pili ya jijini Doha nchini Qatar imetoa offer yao kwamba inamtaka kwa $2,000 tuu!
Ninamaanisha dollars elfu mbili za kimarekani!
Wakiwa wamebakiza nafasi ya mchezaji mmoja wa kigeni,mabingwa wa zamani wa africa mashariki na kati na mabingwa wa tanzania Yanga,wamemtumia ticket ya ndege mshambuliaji mwenye kasi kubwa uwanjani...
Amefahamika kwa jina la Idrissa Ngulungu.
Alikua akienda msibani Kisaki,tairi ya mbele ya gari alimokuwemo ikachomoka na kusababisha kifo cha mwanandinga huyo wa zamani wa coastal union pamoja...
Katika ukurasa wake wa Twita, Kiungo mahiri wa timu ya Simba na timu ya Taifa Mwinyi Kazimoto amewaomba radi Watanzania wote kwa kosa la kutoroka katika kambi ya timu ya Taifa,
Namnukuu hapa...
NBG (Nederlands Baogenootschap) pamoja na KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Sita ya Mchezo wa Bao
Wanaruhuswa kushiriki mabingwa na wanafunzi.
Chama cha...
Wayameni, nyepesi nyepesi zinadai wakati timu ya taifa ilipokwenda Moroko na Uganda. Kuna mwandishi wa michezo(jina kapuni) alifanya mambo ya ajbu saana kwa mwanaume. Inasadikiwa alikuwa akimfulia...
Vyombo kadhaa vya habari vimemripoti Naib Waziri wa Wizara inayoshughulikia michezo akikosoa uteuzi wa Kamati ya TFF ambayo huenda itahusika na kusikiliza rufaa ya Jamal Malinzi iwapo atagombea...
Kuna habari imeandikwa katika gazeti hili la michezo,inahusu ligi ya Kamwambale ktk JIJI LA MBEYA.
Ukweli ni kwamba hii ligi ilikoma tangu mwezi wa kwanza mwaka huu na mshindi ilikuwa timu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.