Phile E Gobre
Member
- Oct 31, 2013
- 10
- 3
Tanzania ina mpira mzuri lakini chanzo cha ligi yetu kutokufikia viwango vya kimataifa ni: 1.mipangilio hasi katika vilabu. 2. Tunaiga mf:watz mfumo tunaotumia ni wa england 3.viongozi waliopo wako kimaslahi zaidi 4.mitaala ya elimu imeweka mchezo kama kipengele cha ziada hasa ngazi za primary schol 5.uongozi wamebez kuangalia uwezo wala co kipaji jambo ambalo linaleta kuporomoka kwa soka letu.