Baada yakutoa sare na Kagera sugar
Mashabiki wa Simba wanang'oa viti vya uwanja wa taifa na mashabiki wanapambana na Polisi ambao wanalipua mabomu ya machozi.
My take
Wanachama wa Simba na utoto wa mjini wote wanawezaje kuongozwa na Rage bonge la mwizi na tapeli, wasing`oe viti vya kiwanja chetu uzembe ni wa kwao