LIVE UPDATES:Yanga VS JKT Ruvu Uwanja wa Taifa

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,225
869
Mabingwa Tanzania Yanga leo wanashuja kwenye uwanja wa Taifa kuania saa 10 kamili jioni kumenyana na Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa JKT Ruvu.

Ushindi kwa leo ni muhimu sana kwa Yanga ili iweze kukalia kiti cha uongozi ingawa pengine huenda ikaww kwa muda tu.

[MENTION=102067]MZK[/MENTION Makoye Matale,Mendieta,na wengine jamani updates ni muhimu sana.
 
Nilitarajia Mchezo huu utaahirishwa ama kuhamishiwa Uwanja mwingine ili kupisha tathimini ya uharibufu uliofanywa na ile Timu ya Hooligans jana! Anyway, ngoja tuchume pointi tatu, tusonge mbele daima, nyuma mwiko!
 
Mabingwa Tanzania Yanga leo wanashuja kwenye uwanja wa Taifa kuania saa 10 kamili jioni kumenyana na Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa JKT Ruvu.

Ushindi kwa leo ni muhimu sana kwa Yanga ili iweze kukalia kiti cha uongozi ingawa pengine huenda ikaww kwa muda tu.

[MENTION=102067]MZK[/MENTION Makoye Matale,Mendieta,na wengine jamani updates ni muhimu sana.

soma post za wenzako kabla ya kutuletea yako, pls Paw move zis
 
Last edited by a moderator:
Mabingwa Tanzania Yanga leo wanashuja kwenye uwanja wa Taifa kuania saa 10 kamili jioni kumenyana na Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa JKT Ruvu.

Ushindi kwa leo ni muhimu sana kwa Yanga ili iweze kukalia kiti cha uongozi ingawa pengine huenda ikaww kwa muda tu.

[MENTION=102067]MZK[/MENTION Makoye Matale,Mendieta,na wengine jamani updates ni muhimu sana.

Yanga hureee!!..3- Jkt hola!..0
 
Back
Top Bottom