brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,393
katika mechi 4 ngumu zilizopita Simba imeambulia points 3 tu , sasa kama tunataka ubingwa ni lazima tuzifunge timu ngumu.
Coastal union 0 Simba 0
Simba 3 Yanga 3
Simba 1 Azam 2
Simba 1 Kagera sugar 1
Tunaomba mwenyekiti Aden Rage na benchi la ufundi mjitathmini ili turudi round ya pili kutoa vichapo na kutwaa ubingwa
Coastal union 0 Simba 0
Simba 3 Yanga 3
Simba 1 Azam 2
Simba 1 Kagera sugar 1
Tunaomba mwenyekiti Aden Rage na benchi la ufundi mjitathmini ili turudi round ya pili kutoa vichapo na kutwaa ubingwa