SAKATA LA RAIS WA FIFA,C.RONADO na REAL MADRID.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Sepp Blatter ameomba radhi kwa Cristiano Ronaldo baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kumchamba katika ukurasa wake wa Facebook.

Mapema Blatter alitoa hotuba iliyomkera Ronaldo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Katika majadiliano yake na wanafunzi hao, Blatter alielezea mapenzi yake kwa Lionel Messi, na akaweka kando kiti chake cha Urais FIFA na kumshambulia kibinafsi Ronaldo. Blatter pia amesemekana kumpiga dongo nyota huyo wa Madrid kwamba anatumia fedha zake nyingi kupamba nywele zake.

Hiyo imemfanya Mreno huyo, aliyeingizwa kwenye kinyang'anyiro cha tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia 2013, Ballon d'Or, aposti katika ukurasa wake wa Facebook: "Video hii inaonyesha dhahiri heshima na namna ambavyo FIFA wapo kwangu, kwa klabu yangu na nchi yangu,".
"Wote ni wachezaji wa kipekee, lakini wako tofauti kabisa. Ni nyota tofauti kabisa.
"Lionel Messi ni kijana mzuri, ambaye kila baba na kila mama angependa kumpeleka nyumbani. Ni mtu mzuri, ana kasi sana, na anacheza vizuri. Ni mtu wa aina hiyo, kijana mzuri. Kitu ambacho kinamfanya awe maarufu, na kiasili wakati wote ataendelea kupata kura nyingi kwa sababu anacheza vizuri na kufunga mabao.

"Mwingine mmoja naye (Ronaldo) ni kitu fulani pia. Ni kama kamanda anavyocheza uwanjani. (Blatter akawa anaonyesha mifano ya uchezaji wake na kushangiliwa).

"Huu ni upande mwingine wa soka na vizuri kuwa na makamanda uwanjani. Hawashibihiani na hicho ndicho kinaubeba mchezo wa soka. Mmoja anatumia fedha nyingi kutengeneza nwele zaidi ya mwingine, lakini hiyo haijalishi.

"Siwezi kusema nani ni bora- kutakuwa na shindano mwaka huu tena Ballon d'Or. Nawapenda wote, lakini nampenda Messi,".

"Mambo hadharani sasa. Namtakia Bwana. Blatter afya na maisha marefu, aendelee kuona na kushuhudia mafanikio ya timu na wachezaji anaowapenda,".

Baadaye Blatter akaandika kwenye Twitter: "Dear Cristiano. Naomba radhi kwako kama ulichukizwa na jibu la swali wangu katika tukio binafsi Ijumaa. Sikuwa na maana ya kukuumiza wewe.

"Nina heshima Real Madrid Cristiano na tuna vipaji vingi katika mchezo huu duniani, ukiwemo wewe. Kila heri,".

Hatua hii inakuja baada ya Real Madrid kuiandikia FIFA ikimtaka Blatter aome radhi kwa maneno yake juu ya Ronaldo.

Katika mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Sevilla, kocha wa Madrid, Carlo Ancelotti amesema: "Rais [Florentino Perez] ametuma barua FIFA kumtaka Blatter kuomba radhi kwake kauli zake juu ya Cristiano.'

BARUA YA RAIS WA REAL MADRID(F.PEREZ) KWA RAIS WA FIFA (S.BLATTER)..

Dear President,

We were surprised to read your remarks concerning our player Cristiano Ronaldo and his chances of being crowned Ballon d'Or and FIFA Player of the Year winner; this has caused great disappointment among the Real Madrid family because these misguided and unacceptable comments were made by the President of World Football's leading Authority.

On the one hand, they are unfair because they are made about a player who is respected the world over by millions of fans, and not just Real Madrid supporters. He is undeniably one of the greatest footballers that the world has ever seen. The comments are also disrespectful to him as a person as, on the other hand, he embodies sporting values in the eyes of society which is in genuine need of the kind of example that he sets; finally, it is our understanding that your remarks may determine the vote of those whose responsibility it is to decide on the winner of this accolade.

We, at Real Madrid, a club which has a special connection with FIFA in view of our position as a founding member, are profoundly disappointed by the whole episode and, as President of Real Madrid, I want you to know that we condemn your comments, which is why we would ask that you retract them to make up, to the extent possible, for the damage caused both to the player and the institution that we represent.

Yours Sincerely,
Florentino Pérez

MAJIBU YA RAIS WA FIFA(S.BLATTER) KWA RAIS WA REAL MADRID(F.PEREZ)..

Dear President:

I received your letter earlier today and was surprised by the content contained therein.

Firstly, I would like to point out that at the ceremony held last Friday at Oxford University, no discussions were held about the aspirations of any player with regard to the FIFA Ballon d'Or. At the end of my speech, and in response to a question about Lionel Messi and Cristiano Ronaldo, the moderator asked me to choose between the two and, at that moment in time, having stated that Messi is the kind of son that any mother would like to have, I finally gave his name. However, I would like to make it quite clear that it is my opinion that Cristiano Ronaldo is at the same level as Messi and that both are extraordinary players, each in his own way.

I regret that this situation at a university ceremony has caused you so much distress and I would like to apologise for it. It was never my intention to cause discomfort or show a lack of respect to Real Madrid FC, one of it players or its support, not only because it is the founding club of FIFA but also because it is a club that I have followed and admired since I was a child.

Kind Regards,
Joseph Blatter.

my take

inawezekana alichokisema ni kweli lakin kama RAIS WA FIFA HAKUTAKIWA KUSEMA HIVO..
 
Last edited by a moderator:
kumbe ndo maana yule mtoto wa homoni hushinda mara kwa mara na kampeni zimeanza sasa.
 
Sioni jambo baya ambalo Blatter kaliongea, kama sikosei ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni Wayne Rooney alisema Ronaldo anatumia Lisaa limoja na Nusu kupamba nywele zake kabla ya mechi. Kutokana na kauli hiyo hatukuona Kauli yoyote kali ktk kwa Ronaldo wala kwa Madrid. Mimi ijapokuwa naishabikia Barcelona ila Ronaldo, Khedira na Pepe huwa siwapingi ila tangu Ronaldo aongeze mkataba wa miaka 5 Madrid nimemuona ni mjinga sana, kwa sababu
1. Anajionesha yupo kimaslahi zaidi ktk soka lake.
2. Bado anaamini anaweza akamfunika L. Messi akiwa Hispania jambo ambalo haliwezi hata tukiongeza miakd 10 mbele.
Kama kweli angetaka acheze mpira na awe anavutia watu na kutengeneza jina lake basi angerudi England.
 
Kikukweli blatter pale kaongea kama vile ni rais wa manzese na sio na sio wa fifa!.......Kelele za kibongobongo anastahili ajiuzulu haraka sn kwa kukidharirisha kiti kikubwa namna hiyo
 
Sioni jambo baya ambalo Blatter kaliongea, kama sikosei ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni Wayne Rooney alisema Ronaldo anatumia Lisaa limoja na Nusu kupamba nywele zake kabla ya mechi. Kutokana na kauli hiyo hatukuona Kauli yoyote kali ktk kwa Ronaldo wala kwa Madrid. Mimi ijapokuwa naishabikia Madrid ila Ronaldo, Khedira na Pepe huwa siwapingi ila tangu Ronaldo aongeze mkataba wa miaka 5 Madrid nimemuona ni mjinga sana, kwa sababu
1. Anajionesha yupo kimaslahi zaidi ktk soka lake.
2. Bado anaamini anaweza akamfunika L. Messi akiwa Hispania jambo ambalo haliwezi hata tukiongeza miakd 10 mbele.
Kama kweli angetaka acheze mpira na awe anavutia watu na kutengeneza jina lake basi angerudi England.
Hutakiwi kufananisha comments za rooney na blatter. that is nonsense coz ni watu wenye uzito tofauti (mmoja ni heavyweight wkt mwingine ni featherweight)................comment ya obana na ile ya kikwete ipi inachukuliwa kwa uzito zaidi na ina effect kwa dunia?...JUST SIMPLE THINKING
 
Sioni jambo baya ambalo Blatter kaliongea, kama sikosei ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni Wayne Rooney alisema Ronaldo anatumia Lisaa limoja na Nusu kupamba nywele zake kabla ya mechi. Kutokana na kauli hiyo hatukuona Kauli yoyote kali ktk kwa Ronaldo wala kwa Madrid. Mimi ijapokuwa naishabikia Madrid ila Ronaldo, Khedira na Pepe huwa siwapingi ila tangu Ronaldo aongeze mkataba wa miaka 5 Madrid nimemuona ni mjinga sana, kwa sababu
1. Anajionesha yupo kimaslahi zaidi ktk soka lake.
2. Bado anaamini anaweza akamfunika L. Messi akiwa Hispania jambo ambalo haliwezi hata tukiongeza miakd 10 mbele.
Kama kweli angetaka acheze mpira na awe anavutia watu na kutengeneza jina lake basi angerudi England.

Mkuu JF sio Facebook,acha unafiki tangu lini wewe ni mshabiki wa Real Madrid? Timu yako inajulikana

Blatter ni kiongozi wa FIFA hata kama hampendi Ronaldo hakupaswa kuongea maneno yale mbele ya public,ametambua kosa lake ndio maana ameomba msamaha
 
Belo umeuaaa, kwi kwi kwi kwi kwiii!
 
Last edited by a moderator:
Na ni balon dor iliyopita FIFA walikuwa na tuhuma ya kupanga matokeo nani awe best player. Pia isisahaulike kuwa 2010 balon dor ilikuwa na utata pale ambapo alipewa messi hukj wadau wengi wakidhani sneijder angeipata mwaka ule bwada ya kuipa mafanikiko inter kupata trebble na the orange kufika fainali WC huku yeye kama yeye akiingia katika wafungaji bora watatu waliofungana katika mashindano hayo.

Ikumbukwe pia UEFA na FIFA zimekuwa ikilalamikiwa mara nyingi kuipendelea Barcelona. Kwa kauli hiyo blatter amedhihirisha malalamiko yote haya yanaukweli kwa kiwango fulani.
 
Kwa nafasi yake huyu blatter hakutakiwa kusema hayo maneno,hii fifa imekuwa kakikundi kawatu flani waopanga kitu flani kwa maslahi flanI,ndio maana nikazi sana kuwatoa madarakani hawa kina blater,Issa hayatoo wa CAF wamejiwekea kinga sana,hawaruhusu serikali kuingilia mambo yao,ili wafanye watakavyo,sasa wanaanza kujiumbua wenyewe,mungu huwa hamfichi mnafiki bwana
 
Sioni jambo baya ambalo Blatter kaliongea, kama sikosei ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni Wayne Rooney alisema Ronaldo anatumia Lisaa limoja na Nusu kupamba nywele zake kabla ya mechi. Kutokana na kauli hiyo hatukuona Kauli yoyote kali ktk kwa Ronaldo wala kwa Madrid. Mimi ijapokuwa naishabikia Madrid ila Ronaldo, Khedira na Pepe huwa siwapingi ila tangu Ronaldo aongeze mkataba wa miaka 5 Madrid nimemuona ni mjinga sana, kwa sababu
1. Anajionesha yupo kimaslahi zaidi ktk soka lake.
2. Bado anaamini anaweza akamfunika L. Messi akiwa Hispania jambo ambalo haliwezi hata tukiongeza miakd 10 mbele.
Kama kweli angetaka acheze mpira na awe anavutia watu na kutengeneza jina lake basi angerudi England.[/QUOTE]

Umenena anataiwa arudi Asenali, akaungane na Ozil
 
Blatter hakupaswa kusema vile kwa kifupi ameharibu mchakato wa upigaji kura mchezaji bora wa dunia..sipingi ubora wa mesi ila kipaji chake ni kwa pros tu na sitaki kuamini anastahili tuzo mara ya nne, dunia ya sasa inakosa vipaji tumebakia na waburudishaji tu, siwezi kuamini mchezaji kama bale anathamani aliyonunuliwa nayo?? soka limepoteza burudani tuliyozoea na mkuu anajaribu kukuza soka kwa njia ambayo sio sahihi, msemo wake umecreate controversy na kuipa media coverage mchakato mzima wa tuzo hizo..sitaki kuamini kama soka inategemea mbinu kama hizi ili kua mchezo maarufu
 
Ni kweli ... but if asked of a individual opinion in a school of thought like Oxford University, it will be hypocritical if he has no player of his admiration. The cost of Rolando's hair style is no secret in fashion world.
 
Prezda kasema ukweli ambao hakutakiwa kuusema kwenye public, Ila ukweli uko wazi tu kati ya wachezaji hawa wawili ..! Vote za mchezaji bora hapigi fifa wala blatter Bali zinatoka kwa waandishi na makocha wa timu zenu na pia manahodha wa timu hizo mnazozipenda!! Ronaldo ana bahati mbaya kucheza kipindi hiki, blatter kama alivosema hakuangalia mazingira na pia ronaldo katumia jazba na post yake sio nzuri kimchezo na ana uhakika ballon dor mwakani hawezi kuwemo na hii si kwa mapenzi ya blatter au nani Bali ni aggregate achievement ya 2013 ndo inaonesha hivo!! Ronaldo anaitetea Tim yake ya taifa ambayo mpaka Sasa ipo kwenye hati hati ya kwenda Brazil, Madrid imefanya nn msimu uliopita? Sasa ikifika mwisho wa msimu akapewa riberry, messi au ibrah watu mtakuja na kelele nyingiii wakati statistics zinaomesha kila kitu... guys numbers never lie
 
Na kwa nini apewe messi.? Kwa kipi alichokifanya.? Na 2010 kwa nini alipewa messi.? Alifanya kitu gani kuzidi sneijder.?
 
xavi, iniesta na snijder walikuwa na mafanikio katika timu zao za taifa na club,, messi ilikuwa personal achievement, his statistics that year were outstanding kulinganisha na wengine, ( top scorer in Europe's premier club competition , uefa hapa mnakumbuka kilichowakuta asenane,La Liga Player of the Year, [FONT=Arial, Helvetica Neue, Helvetica, sans-serif]Messi alikuwa club's and whole-league top goalscorer, netting 34 goals in 35 appearances. European Golden Shoe award for top continental striker n.k[/FONT].). mwakani nategemea kumuona pale na riberry watatu atakuwa ibrahimo kama mambo yataendelea hivi.... kitu ambacho hamjajua ni kwamba mnadhani hiyo ballon dior ni kwa ajiri ya timu nzima au club nzima,,.. nenda ESPN , WIKIPEDIA N.K soma statistics za wachezaji utajua naongelea nini...
 
Kwa point yako ya magoli inamaana unataka kusema viungo, mabeki na makipa hawana nafasi katika hii tuzo.? Zidane amechukua mara 3 na katika mara zote hizo hakuna hata mara moja aliyochukua kwa kigezo cha magoli. Ingekuwa ni kigezo cha magoli enzi za zidane, wachezaji kama Raul, nistelrooy, henry wangekuwa washachukua hii tuzo.

2012 it was clear Iniesta alikuwa katika position kubwa ya kuchukua tuzo baada ya kuisaidia spain kubeba Euro na yeye akiwa kama key player. 2010 it was clear sneijder alistahili tuzo lakini mara zote hizi alipewa messi. Kama haitoshi mwaka huu wapiga kura wa kuchagua nani awe mchezaji bora waliilalamikia FIFA kuwa wamechakachua matokeo kwanj kura zao hawajapewa waliowapigia. Kwa hili lililotokea sasa inadhihirisha kuna upendeleo fulani upo juu ya watu fulani. Na kujiulizw kwa nini haya yawe yanalalamikiwa enzi hizi za blatter na huko nyuma kulikuwa hakuna malalamiko.?

Suala la kusema messi alikuwa na mafanikio binafsi pekee haitoshi, mpira ni mchezo wa umoja na ndio maana inaitwa timu ya mpira ina wachezaji 11. Ukirejea hayo magoli unayosema 34 ni wazi utagundua xavi na iniesta wana assist nyingi katika hayo magoli. Na hii ni kutokana na nafasi wanazocheza kwamba ni viungo wachezeshaji.

So ni ukweli usiopingika kwa sasa FIFA chini ya Blatter ipo corrupt. Na hii ipo wazi kwa wapenzi wengi wa soka.
 
NOT TRUE,, magoli mengi alikuwa nayo messi, na assist nyingi tena ulaya nzima zilikuwa za messi (15 assist),,, kumbuka zawadi anapewa best player not trophies, statistics zikiwa outstanding ndo mtu anapewa bila kuangalia amewin nini,, suala la zidane kuwashinda hao wengine miaka hiyo liko wazi kabisa, hao kina van nest na henry walikuwa wafungaji but sio kwa level ya kushtua kama messi, na pia walikuwa hawana assist kama messi na makombe hawana pia (hapa unaona tofauti yao na messi).. pia kama mpira unachezwa na timu nzima na ndo naleta mafanikio basi ballon dior isingekuwepo coz ingebidi ishindaniwe na tim sio mchezaji mmoja mmoja...! .. haaa haaa nakupa statistics za messi 2012 (first player to score five in a Champions League fixture , broke Gerd Müller's 40-year record of 85 goals in a calendar year.,Messi's 14 in Champions League action was a record for the competition. n.k n,k ,hapo issue muhimu ni migoli 91, record iliyoka kwa miaka 40, pele aliweza 75 tu, ger muller akapiga 85, genius akawapita kwa 91 goals,, hapa huwezi kufumba macho hata kidogo unachukua zawadi faster faster unampa
 
Kwa point yako ya magoli inamaana unataka kusema viungo, mabeki na makipa hawana nafasi katika hii tuzo.? Zidane amechukua mara 3 na katika mara zote hizo hakuna hata mara moja aliyochukua kwa kigezo cha magoli. Ingekuwa ni kigezo cha magoli enzi za zidane, wachezaji kama Raul, nistelrooy, henry wangekuwa washachukua hii tuzo.

2012 it was clear Iniesta alikuwa katika position kubwa ya kuchukua tuzo baada ya kuisaidia spain kubeba Euro na yeye akiwa kama key player. 2010 it was clear sneijder alistahili tuzo lakini mara zote hizi alipewa messi. Kama haitoshi mwaka huu wapiga kura wa kuchagua nani awe mchezaji bora waliilalamikia FIFA kuwa wamechakachua matokeo kwanj kura zao hawajapewa waliowapigia. Kwa hili lililotokea sasa inadhihirisha kuna upendeleo fulani upo juu ya watu fulani. Na kujiulizw kwa nini haya yawe yanalalamikiwa enzi hizi za blatter na huko nyuma kulikuwa hakuna malalamiko.?

Suala la kusema messi alikuwa na mafanikio binafsi pekee haitoshi, mpira ni mchezo wa umoja na ndio maana inaitwa timu ya mpira ina wachezaji 11. Ukirejea hayo magoli unayosema 34 ni wazi utagundua xavi na iniesta wana assist nyingi katika hayo magoli. Na hii ni kutokana na nafasi wanazocheza kwamba ni viungo wachezeshaji.

So ni ukweli usiopingika kwa sasa FIFA chini ya Blatter ipo corrupt. Na hii ipo wazi kwa wapenzi wengi wa soka.

haa haa achana na media, bad or good news for them is a big investment,, nakupa mfano riberry alivoshinda mchezaji bora wa ulaya kura zilipigwa dk chache kabla ya matokeo kutangazwa na voters wote walipewa ki gadget flan ambacho mda ulipofika wakaambiwa wa vote, ni electronically na kila mmoja alikuwa na cha kwake akabonyeza kumpigia kura anayemkubali... baadae kidogo matokeo yakawa revealed pale pale ukumbini.. kwa hiyo ukinambia issue za corruption hamna kitu hapo ni news mbofu mbofu.. SS3 na ESPN walilusha live kijana tafuta waloangalia wakwambie
 
Sioni jambo baya ambalo Blatter kaliongea, kama sikosei ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni Wayne Rooney alisema Ronaldo anatumia Lisaa limoja na Nusu kupamba nywele zake kabla ya mechi. Kutokana na kauli hiyo hatukuona Kauli yoyote kali ktk kwa Ronaldo wala kwa Madrid. Mimi ijapokuwa naishabikia Madrid ila Ronaldo, Khedira na Pepe huwa siwapingi ila tangu Ronaldo aongeze mkataba wa miaka 5 Madrid nimemuona ni mjinga sana, kwa sababu
1. Anajionesha yupo kimaslahi zaidi ktk soka lake.
2. Bado anaamini anaweza akamfunika L. Messi akiwa Hispania jambo ambalo haliwezi hata tukiongeza miakd 10 mbele.
Kama kweli angetaka acheze mpira na awe anavutia watu na kutengeneza jina lake basi angerudi England.
yeye Ronaldo ni mchezaji mzuri ila na mavinyongo sana na mara washabiki mara wachezaji wenziwake. kuna wakati alikuwa narusha mpira , basi aksema , am not here to impress anyone but my felow players only and those over there at the bench!
 
Back
Top Bottom