Fuso Latimkia Nepal

Fuso Latimkia Nepal

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Beki kisiki na nahodha wa zamani wa Taifa Starz, Shdrack Nsajigwa ametimkia nchini Nepal kwenda kucheza soka la kulipwa, mimi niliye karibu na mchezji huyo aliniaga mwishoni mwa wiki iliyopita kwamba anakwenda kujaribu bahati yake

Huko ataungana na baadhi ya wachezaji wa Tanzania wanaokipiga nchini Nepal

my take: Ganda la mua la jana, chungu kaona kivuno;
 
Ukocha wa Lipuli umekwisha ?

Kila la heri huko.

......................:busu:frusty::crying::A S 2152::faint2::A S-confused1::hat::flypig::canada::embarassed2:😛oa:canada::focus::focus::canada::canada:
 
Nsajigwa is too old to play football. Tena nje ya nchi? Labda kama kaenda kufanya u-Kaniki.
 
Godfrey bony na ndabila walirudi hapa tz toka huko nepal. Leo shady anaenda tena. All da best
 
godfrey bony na ndabila walirudi hapa tz toka huko nepal. Leo shady anaenda tena. All da best

walirudi likizo tu, in fact na mumbala yupo huko anakipiga, si haba...........
 
Angalieni kwanza viwango ya FIFA vya huko na vya TZ kabla hamjashangaa. Kwani Giggs akija Bongo hapati timu ya kuchezea?
 
Nina imaani nsajigwa bado ni beki na mbili bora kwa tanzania!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom