mechi iliyokuwa imepangwa kesho jumapili inachezwa leo na prison atacheza kesho . Mbeya city na ashanti ndo wanaingia uwanjani sasa. Tuendeleee
Adam kingwande daaah anacheza maridadi sana kwa ashanti safi sana,,
Hivi wapo kina Adam Kingwade wangapi, juzi si alikuwepo kikosi cha Kagera kilichocheza na Simba?
Kagera Sugar; Agathon Anthony/Hannington Kalyesebula dk22, Salum Kanoni, Martin Muganyizi, Ernest Mwalupani, Malegesi Mwangwa, Zuberi Dabi/Juma Mpola dk46, Benjamin Asukile/Adam Kingwande dk46, George Kavilla, Themi Felix, Daudi Jumanne na Paul Ngwai.
Hii timu ya Mbeya city tunaambiwa ina mashabiki lukuki huko Mbeya mbona hawaji huku kutuletea updates, au Mbeya hakuna Internet?
CC Nakapanya
Hii timu ya Mbeya city tunaambiwa ina mashabiki lukuki huko Mbeya mbona hawaji huku kutuletea updates, au Mbeya hakuna Internet?
CC Nakapanya