Hayo ni maoni ya Ngassa aliyoyatupia Acc yake ya Twitter! Kama yalivyonaswa ShaffihDauda blog!
Wahenga huwa hawakosei! Kizuri kinajiuza!!kibaya .......!
Msanii aliyeshukiwa kuwa msagaji wakati alipotoa nyimbo yake ya Chokoza, Avril ameanikwa baada ya picha zake akiwa katika tendo la usagaji kuvuja.
Avril kwa muda ameendelea kuapa kuwa yeye...
Jeshi kamili la timu ya YANGA linashuka leo jioni kwenye uwanja wa TAIFA, kuifanyia mauji ya kufuru timu toka comoro.
cc mandieta, watu8 Kitobu ndetichia WABHEJASANA Masuke na wengineo wote...
RUAHA MARATHON 2014
Another big event in Iringa on 25th May, 2014 RUAHA MARATHON which going to attracts more than two thousand people Runners and observers.
WHY RUAHA MARATHON?
To...
IRB SEVENS RUGBY BOWL CHAMPIONS IN NEW ZEALAND
MAIN CUP WINNERS N.ZEALAND
PLATE WINNERS
that was the world rugby sevens in new zealand winners pictures.lets met in japan next
Aliyekuwa striker wa brazil maicon amefariki dunia kwa ajali ya gari..
===========
The 25-year-old Brazilian, who joined Shakhtar in 2012, had been on loan at top-flight rivals Illichivets...
Mashindano yaliyo gharimu Kitita kikubwa zaidi katika historia ya Olimpiki yatafunguliwa Urusi leo huku medali 98 ziking'ang'aniwa katika siku kumi na sita.
Sochi, ambayo iko katika pwani ya Urusi...
We love the big games..."two horses and a little horse that still needs milk and to learn how to jump.Mourinho tunakushukuru kwa kutusaidia kukaa hapa juu lakini kutokana na dharau zako daraja...
Nimesikitishwa sana kipindi kinaendelea sasa na mada kuu inamuhusu yeye lakini hayupo, yupo Tarimba tuu
MADA
"Siku 100 za uongoz mpya wa TFF kuingia madarakan, Yap mafanikio na changamoto...
Katika mech ya fainali ya kombe la Mapinduzi Simba ilichapwa moja bila na klabu ya Kampala City Council ya Uganda. Sababu walizotoa ni timu kuzowea kucheza usiku hivo ikawawia taabu siku ya...
Nilikua natafakari vijana wa mbeya city wanavyojituma mwanzo wa gemu mpaka mwisho .....nimegundua ni siasa ndo inaibeba hiyo timu ..mbeya mjini ni jimbo linalotawaliwa ba chadema at the same time...
Tumesikia TFF eti wanaandaa sherehe ya kutimiza miaka 50 tena kwa kujiunga na FIFA sio ya kuanzishwa kwake! Hii ni fedheha tu kwa wapenda soka hapa nchini, hivi inatusaidia nini sherehe hii? Mie...
Habari wana jukwaa ,jana kupitia kwny vyombo vya habari nikaona taarifa kuhusu kuletwa bingwa wa mchezo wa chess ili kuhamasisha wanafunzi waanze kuucheza.
Je mchezo huu wa chess unamanufaa gani...
sina maneno mengi, ntatimiza nachosema... jpili njema.....
.........updates.....
Technically huwezi tembea uchi coz nilisema match ni jumapili na sio jumatatu, pia watu wako ulaya ww uweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.