Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Timu ya soka Al Ahly ya Misri imevurushwa kutoka Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kukandikwa mabao 3-2 na Al Ahli Benghazi ya Libya katika mechi ya pili iliyochezwa Cairo-Misri.Katika mechi ya kwanza, wababe hao wa Yanga walizabwa bao 1-0 nchini Libya. Wametolewa kwa jumla ya mabao 4-2.
TP Mazembe ya DRC na Al Hilal ya Sudan zimesonga mbele baada ya TP Mazembe kushinda 1-0 nyumbani huku Al Hilal ikilazimisha sare ya 1-1 ugenini. Walicheza na wapinzani wao wa Ivoru Coast na Congo Brazaville.